China yapiga marufuku 'Chip' za NVIDIA kutoka Marekani, sasa kujitegemea kabisa katika teknolojia

China yapiga marufuku 'Chip' za NVIDIA kutoka Marekani, sasa kujitegemea kabisa katika teknolojia

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
China imechukua hatua kwa kupiga marufuku rasmi matumizi ya chips (vipuri vya kielektroniki) kutoka kampuni ya Marekani, NVIDIA. Hatua hii inaonesha wazi kuwa China haiko tena tayari kutegemea teknolojia kutoka Marekani.

Badala yake, China imeamua kujiamini na kuanza kujenga teknolojia zake kutoka mwanzoni hadi mwisho—ikiwemo programu (software), vifaa vya kompyuta (hardware), na uwezo wa kutengeneza chips zake yenyewe.

Hatua hii ni sehemu ya mpango mkubwa wa kuhakikisha kuwa vikwazo vya Marekani haviwezi tena kuathiri maendeleo ya teknolojia nchini humo. Kwa hiyo, China sasa inalenga kuwa na mnyororo wake kamili wa uzalishaji wa vifaa vya kiteknolojia, bila msaada wa Marekani.

Wakati kampuni kama NVIDIA zikipoteza soko la China, makampuni ya ndani ya China kama Huawei, Biren Technology, Moore Threads na mengine yanazidi kupata nafasi ya kukua na kushindana, hata kimataifa.

Kwa ujumla, huu ni mwanzo wa zama mpya ambapo China inataka kuwa huru kabisa kiteknolojia, na haitaki tena kuathiriwa na siasa au masharti ya mataifa mengine.

-----
No more U.S. chips. No more compromises. China is going all-in on tech independence.

China has officially banned the use of advanced NVIDIA GPUs, ending a long and increasingly tense relationship with one of Silicon Valley’s biggest players. But this isn’t just a ban—it’s a clear declaration: China is done relying on U.S. technology.

Instead, it’s building a new tech ecosystem from the ground up—one that could reshape the future of AI, gaming, and chip manufacturing around the world.
The End of an Era: NVIDIA’s Exit from China

NVIDIA has long been a backbone of China’s digital boom, powering AI breakthroughs, cloud computing, and next-gen gaming. At one point, China accounted for 13% of NVIDIA’s global revenue.

But cracks began to form in 2022, when the U.S. imposed export restrictions on NVIDIA’s top-tier chips, citing concerns about military and surveillance use. NVIDIA responded by designing a new chip based on its Blackwell architecture, tailored for the Chinese market—and compliant with U.S. rules.

It was a last-ditch effort to keep its Chinese business alive. But now, that door has slammed shut.
China’s “De-Americanization” of Tech

Under President Xi Jinping, China is moving fast to “de-Americanize” its technology sector. That means cutting out U.S. suppliers and building a fully independent supply chain—from software to silicon.

The message is clear: “If you won’t sell it to us, we’ll build it ourselves.”

No more vulnerability to U.S. sanctions. No more waiting on Western chips. China wants full control of its digital future—and it’s already laying the foundation.
Meet the Chinese Tech Giants Replacing NVIDIA

NVIDIA’s departure doesn’t leave a vacuum—it opens the floodgates for a wave of domestic competitors, many of them backed by billions in government funding.

Here are the key players stepping in:

  • Huawei – Its Ascend 910 is already handling high-performance AI tasks in China’s data centers.
  • Biren Technology – Makers of the BR100 and BR104, designed to rival NVIDIA’s A100 and H100 chips.
  • Moore Threads – Produced the MTT S80, China’s first homegrown gaming GPU, and now moving into AI.
  • Innosilicon – Builds GPUs for gaming and industrial systems, expanding China’s processing capabilities.
  • Zhaoxin & Loongson – Leading CPU developers helping complete China’s self-sufficient computing stack.
  • DenglinAI, Iluvatar CoreX, VastAI Tech – A new generation of AI chip startups looking to go global.

This isn’t a patch job. It’s a complete ecosystem, designed to make sure China never has to rely on foreign chips again.

Global Impacts: The Ripple Effect of China’s Breakup with NVIDIA

For NVIDIA, this is more than a bad headline—it’s a serious financial blow. Losing access to China means lower demand, tighter margins, and added pressure from emerging competition.

But other U.S. tech giants like AMD and Intel could soon feel the heat too. As China’s homegrown chips mature, they may begin to compete internationally, especially in regions looking to diversify supply chains.

For global consumers, the effects may take longer to show. Most NVIDIA GPUs are still produced in Taiwan, and your gaming rig or AI workstation won’t be obsolete tomorrow.

But long term? The rise of China’s chip industry could mean:
  • Faster innovation cycles from new global competitors
  • Shifts in pricing—potentially more options, or more volatility
  • Redrawn alliances in the global tech supply chain

What Comes Next?

This is more than a trade story—it’s a turning point. China is betting big on chip independence, and it’s making real progress. What once seemed like far-off ambition is now becoming a competitive reality.

And while NVIDIA, AMD, and other Western giants will continue to dominate in many markets, they now face a powerful, state-backed rival that isn’t just catching up—it’s coming for the lead.

Source: https://www.info-culture.com/news-5...ts-total-independence-from-us-technology.html
 
Anajitahidi sana kuwa advanced lakini mbona,

lakini dunia bado haijamwamini kabisa mchina,

Weka simu ya mmarekani hapa mfano pixel,

Utafananisha na simu kama xiaomi simu sio simu sijui ni kamera hile

Design mbovu,hapana bhana mchina kila kitu anacopy kwa mmarekani hana ubunifu kabisa

Kwa miaka mingapi katumia NVIDIA,saizi ataka kuunda chips zake

Nakwambia hizo chips asimilia 98% zitakuwa zinaendana na NVIDIA
 
dc19506eb0de4fbe7d52a25eb271690e.jpg

Hii ni simu
 
Hongera china kwa kujipikia chips wenyewe
 
Anajitahidi sana kuwa advanced lakini mbona,

lakini dunia bado haijamwamini kabisa mchina,

Weka simu ya mmarekani hapa mfano pixel,

Utafananisha na simu kama xiaomi simu sio simu sijui ni kamera hile

Design mbovu,hapana bhana mchina kila kitu anacopy kwa mmarekani hana ubunifu kabisa

Kwa miaka mingapi katumia NVIDIA,saizi ataka kuunda chips zake

Nakwambia hizo chips asimilia 98% zitakuwa zinaendana na NVIDIA
Achana na dunia kumwamini , kama China lingekuwa taifa kubwa tusingekuwa na machinga wa kichina kariakoo.Nenda Shinyanga na Geita wachina wanaingia mzigoni mpaka wanafukiwa na vifusi. Halafu tunasikia Ngojera za taifa kubwa.
 
utatokea ugomvi wa hati miliki, let us wait and see
 
Wako bilioni 1.3 USA wapo milion 350+ Unafikiri ni easy kulisha watu bilioni kadhaa. Vipi wangekuwa milion 300 kama USA ?
India nayo wapo bilioni 1... nao hawatulii India wanatoka nje ya nchi.
China sera yake mojawapo ni rai kutoka nje ya China. Wametoka kweli kweli. Kwa hio ulitakiwa uwapongeze viongozi wa China kuweza kumudu kuhudumia hao watu, wenzao India wamefelu vibaya sana.
Sijaelewa 7napoli ganisha na USA sijui unazingatia vigezo gani. Kimiunfo mbinu China ndio anayo ya kisasa zaidi kuliko USA.

Muwe mda mwingine mnajilinganisha na China sio kushadadia wazungu tu kisa waliwaletea masihi. Jaribu kujilinganisha na China uone ulivyoachwa miles. Wenzio wanafikiria to "overtake" sie huku mikelele tu.
TUPUNGUZENI SHOBO KWA MAENDELRO YA WATU, HIKU YAKWETU YAMETUSHINDA.
 
The book to read is "Chip War : The Fight For The World's Most Critical Technology" by Chris Miller.

It provides an in depth coverage on the subject.

I thoroughly enjoyed it.

Screenshot_20250619_065625_Amazon Shopping.jpg
 
Wako bilioni 1.3 USA wapo milion 350+ Unafikiri ni easy kulisha watu bilioni kadhaa. Vipi wangekuwa milion 300 kama USA ?
India nayo wapo bilioni 1... nao hawatulii India wanatoka nje ya nchi.
China sera yake mojawapo ni rai kutoka nje ya China. Wametoka kweli kweli. Kwa hio ulitakiwa uwapongeze viongozi wa China kuweza kumudu kuhudumia hao watu, wenzao India wamefelu vibaya sana.
Sijaelewa 7napoli ganisha na USA sijui unazingatia vigezo gani. Kimiunfo mbinu China ndio anayo ya kisasa zaidi kuliko USA.

Muwe mda mwingine mnajilinganisha na China sio kushadadia wazungu tu kisa waliwaletea masihi. Jaribu kujilinganisha na China uone ulivyoachwa miles. Wenzio wanafikiria to "overtake" sie huku mikelele tu.
TUPUNGUZENI SHOBO KWA MAENDELRO YA WATU, HIKU YAKWETU YAMETUSHINDA.
Kuanzia mwaka huu watu wamechoma viwanda zaidi ya 60 kutokana na malipo madogo na kunyimwa mishahara. Watu wamechoma banki zaidi ya tano kwa kushindwa ku-withdraw pesa. Hiyo ni nchi yenye uchumi mkubwa ? Wananchi wake wanauzwa viungo ukifuatilia most number of transplants duniani zinafanyika china maana ni rahisi watu kupata viungo. Saa nyingine hauhitaji kuwa na akili sana kujua ukweli wachina waliopo mikoani na kariakoo na viwanda bubu wanaoshindia mihogo na chai ya rangi ni ushahidi tosha kuwa china ni propaganda.
 
Wewe na nchi yako ?
 
Watu wanaponda , Wachina wakati made in china ni nyingi duniani kuliko made in Tanzania
 
utatokea ugomvi wa hati miliki, let us wait and see
Hakuna cha ugomvi. Ushajiuliza kwanini Mchina hakuwa wa kwanza kutengeneza AI?
Mchina nampongeza kwa kujua ku-copy na ku-paste. Yupo vizuri
 
Watu wanaponda , Wachina wakati made in china ni nyingi duniani kuliko made in Tanzania
Ni kweli ila anakera. Mchina anauza kwasabb bidhaa zake zipo chini na low Quality.
Leo ukitaka ununue Flash drive, Memory Card, External Hard disk, Pasi za Philips, simu za Nokia, iPhone au Computer ya Apple inabidi ujipange kisaikolojia na kupoteza pesa
 
Back
Top Bottom