China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
849
Reaction score
1,482
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?

Je, bado anaitegemea US na washirika wake kiuchumi na kila kitu?

Untitled.jpg
 
Hao US/EU ndo wanamtegemea Mchina kama hujui. Ndomana almost kampuni zao zote zipo China.
He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.

Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West

China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
 
He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo china,
mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West

China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
yaani we ndio hujui kitu mbumbumbu kabisa
alafu
unaanzisha thread mtu akitoa mawazo yake unamshambulia kisa anapishana kimtazamo na mabwana zko wamarekani shit...
 
Ni vyema kushikiriana na pande zote mbili katika kutatua mgogoro hiyo ndiyo njia bora ya kumaliza tofauti.

Ukraine na Russia wote wapo kwenye mgogoro wa pamoja
 
He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.

Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West

China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
Pumba tupu
 
Kama una mtoto basi huyo mtoto ana bahati mbaya kuwa na mzazi kama wewe.
 
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?

Je, bado anaitegemea US na washirika wake kiuchumi na kila kitu?

View attachment 2617586
China kwa sasa hawezi kutaka vita maana itampotezea ndoto zake za kuzidi kupaa kiuchumi.
 
China hana uchumi technologia kaipata kutoka US ndio waliompa wataalamu
Hana uchumi ukimlinganisha na nani? Kwa hiyo unapingana na takwimu za WB, IMF, na taaisis nyingine kuwa china ndio nchi yenye uchumi wa pili duniani na ndiye exporter mkubwa duniani wa bidhaa? Haijalishi kaitoa wapi awe kaiba au kafanyaje lakini kaitumia kufyatua vitu anavyohitaji. Kama mabomu anatengeneza, kama roketi anarusha, kama satelite anarusha, kama electronics anatengeneza sasa wataka teknolojia gani?
 
He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.

Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West

China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
Na hizi Howo na Shacman?
 
Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?

Je, bado anaitegemea US na washirika wake kiuchumi na kila kitu?

View attachment 2617586
Biashara ya CHINA na US ina thamani kubwa kulinganisha na nchi yoyote hapa duniani
Ko lazma alinde soko lake la nje
 
Back
Top Bottom