He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.Hao US/EU ndo wanamtegemea Mchina kama hujui. Ndomana almost kampuni zao zote zipo China.
yaani we ndio hujui kitu mbumbumbu kabisaHe nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo china,
mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West
China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
Wewe ndio mbumbumbu wa first class.yaani we ndio hujui kitu mbumbumbu kabisa
alafu
unaanzisha thread mtu akitoa mawazo yake unamshambulia kisa anapishana kimtazamo na mabwana zko wamarekani shit...
Pumba tupuHe nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.
Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West
China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
UgoroHao US/EU ndo wanamtegemea Mchina kama hujui. Ndomana almost kampuni zao zote zipo China.
China anatakiwa kuacha unafki mara moja.Ni vyema kushikiriana na pande zote mbili katika kutatua mgogoro hiyo ndiyo njia bora ya kumaliza tofauti.
Ukraine na Russia wote wapo kwenye mgogoro wa pamoja
China anatakiwa kuacha unafki mara moja.
Nijuavyo Mimi ni kwamba China ndo anaitegemea US na Ulaya kiuchumi.Hao US/EU ndo wanamtegemea Mchina kama hujui. Ndomana almost kampuni zao zote zipo China.
Kama una mtoto basi huyo mtoto ana bahati mbaya kuwa na mzazi kama wewe.He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.
Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West
China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
Hiv huu upuuz mnaupata wapi mkuuHao US/EU ndo wanamtegemea Mchina kama hujui. Ndomana almost kampuni zao zote zipo China.
Hiv huu upuuz mnaupata wapi mkuu
China kwa sasa hawezi kutaka vita maana itampotezea ndoto zake za kuzidi kupaa kiuchumi.Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?
Je, bado anaitegemea US na washirika wake kiuchumi na kila kitu?
View attachment 2617586
China hana uchumi technologia kaipata kutoka US ndio waliompa wataalamuChina kwa sasa hawezi kutaka vita maana itampotezea ndoto zake za kuzidi kupaa kiuchumi.
Kwa mujibu wa Sun Tzu vita ni chaguo la mwishoChina kwa sasa hawezi kutaka vita maana itampotezea ndoto zake za kuzidi kupaa kiuchumi.
Hana uchumi ukimlinganisha na nani? Kwa hiyo unapingana na takwimu za WB, IMF, na taaisis nyingine kuwa china ndio nchi yenye uchumi wa pili duniani na ndiye exporter mkubwa duniani wa bidhaa? Haijalishi kaitoa wapi awe kaiba au kafanyaje lakini kaitumia kufyatua vitu anavyohitaji. Kama mabomu anatengeneza, kama roketi anarusha, kama satelite anarusha, kama electronics anatengeneza sasa wataka teknolojia gani?China hana uchumi technologia kaipata kutoka US ndio waliompa wataalamu
Na hizi Howo na Shacman?He nafkiri unakaa sayari ya mbali sana ndugu, kwamba leo US kampuni zake zipo China.
Mkuu elewa kwamba Uchumi wa china unaitegemea sana Marekani, US ndio walitoa wataalam kwenda kuiiuna china kiuchumi, technologia na hadi silaha technologia imetoka US na West
China taaluma yao ni kutengeneza baiskeli na cherahani tu ndio maana China anasita sita kujaribu vita na US kiuchumi na kila kitu., ni vile ameshikishwa makali mpini uko US
Biashara ya CHINA na US ina thamani kubwa kulinganisha na nchi yoyote hapa dunianiKuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa?
Je, bado anaitegemea US na washirika wake kiuchumi na kila kitu?
View attachment 2617586