Bakari China JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 254 Reaction score 588 Jul 24, 2021 #21 mjingamimi said: bila shaka maana nyie ndo mlianza kwa kula popo Click to expand... Kulinganishwa na chanzo cha popo, ningeamini zaidi chanzo cha Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa wito wa Marekani kufungua maabara yake ili tujue wazi corona vinatoka wapi. Kwani Marekani haithubutu kufungua maabara?
mjingamimi said: bila shaka maana nyie ndo mlianza kwa kula popo Click to expand... Kulinganishwa na chanzo cha popo, ningeamini zaidi chanzo cha Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa wito wa Marekani kufungua maabara yake ili tujue wazi corona vinatoka wapi. Kwani Marekani haithubutu kufungua maabara?
Bakari China JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 254 Reaction score 588 Jul 24, 2021 #22 China imethubutu kufungua maabara yetu, na wataalamu wa WHO wamefanya utafiti huko. Kwani Marekani bado?
China imethubutu kufungua maabara yetu, na wataalamu wa WHO wamefanya utafiti huko. Kwani Marekani bado?