China yatangazi mwanzo wa ushindi vita ya dhidi Corona mjini WUHAN

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.

-Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya
-hakuna kifo kipya kilichoripotiwa
-hakuna washukiwa wapya walio karantini.
Source; France 24
 
Nimeona video wakiwa wanawaaga madaktari wao kurudi nyumbani.
Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.

-Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya
-hakuna kifo kipya kilichoripotiwa
-hakuna washukiwa wapya walio karantini.
Source; France 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika nini hiki sasa?
Source hakuna picha hakuna tukisema ni upuuzi utakataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
angalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia corona
kwakweli wachina
wanahitaji pongezi
 
Attachments

  • VID-20200319-WA0027.mp4
    2.8 MB
angalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia corona
kwakweli wachina
wanahitaji pongezi
Sure kaka wameonyesha spirit ya kupambana hasa....janga limemshinda Italy
 
Haka kakijiti tunapokezana taratibu! Halafu huenda kameharibu biashara ya mtu! Alieuleta huenda kaona asilete dawa maana atafahamika😜
Kama sivyo ni vita ya kiuchumi!!
Na kama sivyo pia Basi wachina msile tena popo mtatuuwa wala michicha huku.
 
Hongereni sana wachina, naamini ni wakati wenu wakuja kutusaidia sisi tupendao siasa zaidi kuliko kujali afya za raia.
 
Meanwhile in Afrika!
masoudkipanya_B93Xerxj6vC.jpeg
 
Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.

-Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya
-hakuna kifo kipya kilichoripotiwa
-hakuna washukiwa wapya walio karantini.
Source; France 24
Sasa hivi china inaogopa wageni wanaoingia tu basi.
 
Wakenya wajanja sana.
Hili deal wangetakiwa wabongo waliwahi.
Ila sisi rais anawaza tu kukaa madarakani.
Na kukimbizana na chadema hakuna mikakayi yoyote. Ni hopeless
Kila kitu anakanusha....hata idadi ya waathirika inatolewa feki
 
Back
Top Bottom