China yatangazi mwanzo wa ushindi vita ya dhidi Corona mjini WUHAN

China yatangazi mwanzo wa ushindi vita ya dhidi Corona mjini WUHAN

Kila kitu anakanusha....hata idadi ya waathirika inatolewa feki
Hatuwezi kamwe kuwakataza Wachina wasiingie kwetu.Ni marafiki zetu tunawapenda sana.Nao wanakupenda sasa nenda kwao sasa watakufungulia uingie.

Haya sasa mambo kwa kwenda mbele,kila mtu kachanganyikiwa.Wakachanganya na wananchi woooote.Walipoona sasa woooote wamechanganyikiwa wasiwasi umekuwa mkubwa wakaanza.Oh wananchi msiwe na hofu.

Tutaachaje kuwa na hofu wakati tumeona jinsi wenzetu wanavyotumia magari ya nguvu kuspray dawa kila mahali wakati sisi hatuna chochote tumebaki kutumia manguvu kuwapiga wanawake kwa kuwavunja mikono.

Wenzetu hawana ujinga huo.Tumia akili fanikisha,okoa maisha ya raia na sio kuwapiga na kuwaumiza vichwani vunja mikono.Hii tabia ni mbaya tuache.Heshimu mwili wa Mtanzania mwenzako kama wa kwako.
 
angalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia corona
kwakweli wachina
wanahitaji pongezi
Sio pongezi tu ila pongezi kubwa sanaaa

Sent using My COVID-19
 
Jumbo LA Calfornia limewekwa Lockdown baada ya hali kua tete
 
Wachina wakatuletea msema halafu who wametokemo
 
Back
Top Bottom