Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.
-Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya
-hakuna kifo kipya kilichoripotiwa
-hakuna washukiwa wapya walio karantini.
Source; France 24
Kwani kula popo wameanza mwaka huu?That's fine kama sasa wameacha kula popo.
angalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia coronaUmeandika nini hiki sasa?
Source hakuna picha hakuna tukisema ni upuuzi utakataa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure kaka wameonyesha spirit ya kupambana hasa....janga limemshinda Italyangalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia corona
kwakweli wachina
wanahitaji pongezi
Hawajamaa ndio wana paswa kuitwa bludoza maama wana piga kazi kama machine!angalia video hii. watu wamepiga kazi mpaka mikanda/mipira inayoshikilia mask imewachubua usoni. halafu waanatokea watu wengine kusaak umaarufu kupitia corona
kwakweli wachina
wanahitaji pongezi
Sasa hivi china inaogopa wageni wanaoingia tu basi.Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo.
-Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya
-hakuna kifo kipya kilichoripotiwa
-hakuna washukiwa wapya walio karantini.
Source; France 24
Wakenya wajanja sana.Wameanza kujenga kituo cha kupambana na magonjwa ya mlipuko nchini Kenya
Kapambana sio mchezo ukiangalia mchakamchaka wake sio wa kitoto!!!Msala wametuachia wengine, sasa hivi zamu yao wanazuia watu wasiingie kwao.
Hali ilivyo sasa hivi mzungu anatisha kuliko mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu anakanusha....hata idadi ya waathirika inatolewa fekiWakenya wajanja sana.
Hili deal wangetakiwa wabongo waliwahi.
Ila sisi rais anawaza tu kukaa madarakani.
Na kukimbizana na chadema hakuna mikakayi yoyote. Ni hopeless
Kila kitu anakanusha....hata idadi ya waathirika inatolewa fekiWakenya wajanja sana.
Hili deal wangetakiwa wabongo waliwahi.
Ila sisi rais anawaza tu kukaa madarakani.
Na kukimbizana na chadema hakuna mikakayi yoyote. Ni hopeless
Walianza zamani ila labda walikuwa hawajawa infected na huyo kirusi.