China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara yote.

Wamepiga bahari mabomu kwa hasira, ila wanasubiriwa sana wakosee njia na kushusha mzigo wowote hapo Taiwan.......ikumbukwe Marekani ina mkataba kabisa wa kuilinda Taiwan.
========================

China says it is canceling or suspending dialogue with the U.S. on issues from climate change to military relations and anti-drug efforts in retaliation for a visit this week to Taiwan by U.S. House Speaker Nancy Pelosi. Beijing also imposed sanctions on her.

The measures announced Friday are the latest in a promised series of steps intended to punish Washington for allowing the visit to the island it claims as its own territory to be annexed by force if necessary. China opposes the self-governing island having its own engagements with foreign governments.

For a second straight day, China dispatched warplanes and naval ships into the Taiwan Strait as part of its biggest live-fire military drills against Taiwan ever, CBS News' Ramy Inocencio reports.
 
Huyo Shoga wenu USA mnamsifia , ana mikwara tu lkn Hana lolote jipya ,kipindi kile. Anapiga bomu Japan ,nchi nyingi hazikuwa na nuclear na silaha Bora,
Sasa hivi anapagawa sababu karibu nchi zote Zina nuclear na silaha Bora na technolojia za juu.
Kwa kifupi USA Ni superpower iliyofeli , kwani wakati huu wake ,ameshindwa kabisa kucontrol nuclear kusambaa
 
Na hata waarabu wenu leo hii wanamsujudu, Urusi mliyemtegemea ndiye huyo keshaangukia pua anapata aibu ya kainchi kadogo, mlihamia kwa Mchina naye hana lolote amebaki kupiga bahari mabomu.

Mjifanye kama ambao mnajikuna muone mziki, kuna huyu mnyama hutamba baharini, gharama yake ni GDP ya nchi yako yote....

main-qimg-3f3e1908a4444a7dbdc046c076897198-pjlq
 
Mbona na nyie nao ni mashoga tu kwa Imam Muhsin.
 
Na hata waarabu wenu leo hii wanamsujudu, Urusi mliyemtegemea ndiye huyo keshaangukia pua anapata aibu ya kainchi kadogo, mlihamia kwa Mchina naye hana lolote amebaki kupiga bahari mabomu.

Mjifanye kama ambao mnajikuna muone mziki, kuna huyu mnyama hutamba baharini, gharama yake ni GDP ya nchi yako yote....

main-qimg-3f3e1908a4444a7dbdc046c076897198-pjlq
Waarabu na Russia wapi na wapi
 
Awepo asiwepo hakupunguzi chochote! US mwenyewe tangia ahidi kupunguza viwanda vyake vinavyo zalisha hewa chafu hajafanya hivo zaidi anataka kuitumia hoja hiyo kumbana mchina tu!

Majuzi hapa mmeanza kuruhusu makaa ga mawe kisa mmekosa nishati ya Gas wakati huku acha kujenga mabwawa ya kuzalisha umeme hamtaki tufanye sababu mnasema mazingira lakini kwenu hakuna cha mazingira wala nn mnajali mambo yenu yawe sawa tu
 
Huyo Shoga wenu USA mnamsifia , ana mikwara tu lkn Hana lolote jipya ,kipindi kile. Anapiga bomu Japan ,nchi nyingi hazikuwa na nuclear na silaha Bora,
Sasa hivi anapagawa sababu karibu nchi zote Zina nuclear na silaha Bora na technolojia za juu.
Kwa kifupi USA Ni superpower iliyofeli , kwani wakati huu wake ,ameshindwa kabisa kucontrol nuclear kusambaa
Vipi familia yako ina hata kisu cha kujilinda dhidi ya panya road? Tuanzie hapo kwanza. Naona umeshupaza kuponda tecknolojia ya US wakati you nothing on hand
 
Back
Top Bottom