Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Na nani, hakuna wa kumgusa kwa sasaAmerica ni time itandikwe sasa!
"Sema amina"Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.
Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."
Vijana China sio poaaa ndio wameanya Korea zipo mbili ndio wamefanya Marekani akimbie Vietnam tatizo propaganda za USA zimewachanganya sana!!! China sio poaaaaTangu lini China ameacha kujipenda?
Hiyo michumachuma yake fekI itamsaidia?
China manafiki wa Dunia kabanwa kwenye kooo. Alikuwa anajifanya anapeleka misaada ya kibinadamu kumbe ndio anawauzia silaha Iran Sasa hivi wanaume wameenda kuzuia kivuko Cha HormuzWanaukumbi.
"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.
Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au kurudi China, hakutachukuliwa kwa nia njema na serikali ya China na watu.
Vitendo kama hivyo vitachukuliwa kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa China, biashara yake, na maslahi yake ya msingi.
Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.
Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."
- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
=======================
"China has taken note of the illegal interception by the United States of a civilian cargo ship traveling from China to Iran.
Allow us to be absolutely clear: The United States can do many things on the world stage. But attacking, detaining, or harassing ships traveling from China, or returning to China, will not be taken in good faith by the Chinese government and people.
Such actions will be regarded as a direct attack on China's sovereignty, its trade, and its core interests.
This is the final warning to the United States. Do not miscalculate. Do not play with fire. China will take all necessary measures to safeguard its legitimate rights and interests.
The United States will bear full responsibility for any consequences arising from further provocations."
- Spokesperson of China's Ministry of Foreign Affairs
Kabla hujazaliwa wewe USA ilitabiriwa kujifia. Ila mpaka leo ni super power China ananufaika na uwepo wa USA kuanzia biashara na kuigilizia tech.Kupigana kwa ajiri ya meli not worth it for china, atalalamika tuu na kama kuna meli ya America karibu na China coast ataichukua kama alivyowakama ta US foreign officers baada ya mtoto wa Huawei kuzuiwa Canada, China hana interest kugombana na US anajua ni nchi inayojifia bora kuiacha iendelee kujipiga kitanzi
Cc Mbaga JrHili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.
Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."
China yuko vizuri kivita sema ni mbahiri hapendi kupoteza hela zake kijinga.China na Urusi ni mbwa waoga, wanabweka wakiwa mbali, wakisogelewa wanakimbia na kufyata mikia. Wamemwachia mshikaji wao Irani apambane pake yake! 😁
Acha uongo wa KIFALA WEWE.Kabla hujazaliwa wewe USA ilitabiriwa kujifia. Ila mpaka leo ni super power China ananufaika na uwepo wa USA kuanzia biashara na kuigilizia tech.
So China anaombea USA aendelee kuwepo pale juu
China hajapanga kuichukua Taiwan kinguvu,China anatumia strategy zile zile alizotumia kuirudisha Hong Kong na Macau.China hawezi kuthubutu chief
Taiwan ina maslahi zaidi kwake kuliko hata hiyo meli, kafanya nini sasa dhidi ya mkwara wa USA
Yaani mpaka leo hana kauli THABITI juu ya Taiwan afanye kipi aache kipi
Urusi bado anahangaika na Ukraine huwezi ukamuita muoga.China na Urusi ni mbwa waoga, wanabweka wakiwa mbali, wakisogelewa wanakimbia na kufyata mikia. Wamemwachia mshikaji wao Irani apambane pake yake! 😁
Kobazi Khaibar the analyst katika ubora wake, wape shule wataelewa tuu😂China hajapanga kuichukua Taiwan kinguvu,China anatumia strategy zile zile alizotumia kuirudisha Hong Kong na Macau.
Ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kupigana. Vietnam alipeleka jeshi na akapigana kui oppose USA sembuse ashindwe sasa!??
Embu kafuatilie USA alivyofukuzwa pale South China sea alipotaka kurejesha visiwa vya Ufilipino vilivyotekwa na China.
China hana lolote hawezi kushindana na marekani katika harakati za utawala. Kwanza siasa zao ni ngumu sana zinaifanya tumie nguvu kubwa kuwatawala watu wao kuliko marekani au nchi za ulaya zinavyofanya. Kwa siasa wanazoendesha China hawatakuja kuwa taifa kubwa duniani aslani.Wanaukumbi.
"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.
Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au kurudi China, hakutachukuliwa kwa nia njema na serikali ya China na watu.
Vitendo kama hivyo vitachukuliwa kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa China, biashara yake, na maslahi yake ya msingi.
Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.
Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."
- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
=======================
"China has taken note of the illegal interception by the United States of a civilian cargo ship traveling from China to Iran.
Allow us to be absolutely clear: The United States can do many things on the world stage. But attacking, detaining, or harassing ships traveling from China, or returning to China, will not be taken in good faith by the Chinese government and people.
Such actions will be regarded as a direct attack on China's sovereignty, its trade, and its core interests.
This is the final warning to the United States. Do not miscalculate. Do not play with fire. China will take all necessary measures to safeguard its legitimate rights and interests.
The United States will bear full responsibility for any consequences arising from further provocations."
- Spokesperson of China's Ministry of Foreign Affairs
Ni kwa mawazo yako finyu,kisiasa China amepiga hatua na ndie global super power kwasasa.China hana lolote hawezi kushindana na marekani katika harakati za utawala. Kwanza siasa zao ni ngumu sana zinaifanya tumie nguvu kubwa kuwatawala watu wao kuliko marekani au nchi za ulaya zinavyofanya. Kwa siasa wanazoendesha China hawatakuja kuwa taifa kubwa duniani aslani.
Kutishiana kupo. Hata USA alipopewa taarifa China amepora visiwa vya Ufilipino South China sea alipeleka navy fleet kubwa kuliko aliyopeleka Iran akiapa kuiangamiza China ila alirudishwa nyuma pasi na kurusha hata jiwe.Nancy Pelosi Alikwenda Taiwan Wakasema Watamlipua Akatoka Safi