China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Wamevunja manjengo ya waabudu miungu wameacha manjengo yao ya waabudu sanamu...

Wameruka mkojo na wamebaki wanakanyaga mavi...
Ubaya shetani hajui yupi ana Mungu wa kweli au Mungu feki, wote anawalamba na watakutana motoni
 
Mkiristo akifa akiwa Mkiristo basi hasara kubwa na maisha yake huko ni mabaya mno
Unatumia REJEA ya KITABU kilichoandikwa na mtu mmoja, Halafu anajishuhudia peke yake kuwa yeye ni mkuu kuliko manabii wote ( Halafu wewe unaamini mazima). Hujui kuwa mtu anayejishuhudia peke yake , ushuhuda wake SIYO WA KWELI?
 
Kama unaishi jiji la waislamu darussalaam hama tu mzee,
Dar es salaam kwa sasa ni mji wa kila mtu mkuu wangu. Nilizaliwa na kukulia Magomeni karibu na msikiti fulani. Ilikuwa kila saa 10 alfajiri lazima tuamshwe na kelele za maspika kutoka misikitini. Hizi zilikuwa zinaamsha kila mtu aliekuwa anaishi maeneo hayo, uwe muislam, mkristo, hindu au mpagani utaamka tu.

Baadae mambo yakawa safi dingi akajenga Tabata tukahamia, bahati mbaya tulipohamia ni karibu na kanisa la kiroho, aloo nilitamani nirudi magomeni tulipotoka. Maana huku hawana kusubiri saa 10 alfajiri kama wenzao, wao wanaanza kupiga mziki mkubwa saa 12 jioni hadi saa 11 ya asubuhi. Yani wanaimba na kucheza usiku mzima, na wakichoka kuimba bora wafungulie radio zenye nyimbo zao, lakini wahakikishe kanisa linakesho linapiga mdundo.

Mimi mwenyewe niliamua kuhamia Kinondoni ambapo kidogo kuna unafuu.
 
hawezi kuongea humu ila angefanya mzungu shingo zingetoka kama pinokio
😅 😅

Alafu utawasikia China yuko nyuma ya Hamas, Yemen, sijui nini.

China, Russia na India linapokuja kwenye Dini ya mnyazi mungu hawanaga tabia ya kuchekea kima.

Kama umesikia mahali maandamano ya kulaani mauaji ya Watu wa Gaza, China
 
Nimecheka mpaka mate yamenipalia
 
China masuala ya dini hayana nguvu pia siasa za nje hazina nguvu kubwa ndani ya China tofauti na siasa za ndani
 
Dini zimeanza middle east

Dini zimeanzia middle East then ulaya na uarabuni baadae mbona uarabuni na ulaya sio masikini.
Mkuu hebu waafrica tuache kuendelea kuwa brainwashed. Watu wamekuletea vitabu vya biblia na msaafu lakini haujui viliandikwa wapi, na nani na lini.

Kwa akili ya kawaida hauoni tu kwamba hizo dini zimeanzishwa katika hizo nchi ulizozitaja au bado upo gizani tukufungue macho uone?

Hapo ni kwamba dini ya kiyahudi ilianzishwa na wayahudi huko Mashariki ya kati lakini katika nchi ya Israel, dini ya kikristo ilianzishwa Israel lakini ilianzishwa na watawala wa wakati huo ambao walitokea Ulaya (Rome, Italy) na walikuwa ni wazungu.

Uislam umeanzia Saudi Arabia na kusambaa katika mataifa mengine ya mashariki ya kati, Iraq nk. Ndomaana nikakwambia mahali zilipoanzishwa hizo dini ndo kuna utajiri utokanao na imani zao, ila sisi wayahudi, waislam na wakristo wa huku mwanalumango na huko kajamba nani tutaishia kuwa masikini kwa kuambiwa kuwa tuchangie fungu la kumi la Mungu, wengine waseme tumerogwa au tuna mapepo yanayosababisha tukose ajira, au biashara zetu zisiende vizuri, hivyo tunahitaji maombi na kumuona mchungaji, padri au sheikh kwa ajili ya maombi ni kiasi kadhaa cha pesa ambacho kama hauna inabidi ukakope.

Matokeo yake unaombewa na shida zipo pale pale, mchungaji hela kama na huna la kumfanya wala pa kumshitaki, bado ukifa au ukipata msiba watu hawafiki msibani au hawakusaidii kisa wewe hautoi mchango wa kanisa, msikiti nk.

Ndio maana wachina waliona mbali kwa kukataa huu upumbavu wa dini za wazungu na waarabu. Zote ni utapeli mtupu unaonufaisha watu wachache haswa wale viongozi wa imani hizo katika nchi husika.

Mchina hawezi kukubali mpumbavu mmoja akusanye sadaka za raia wake kwa kisingizio cha kuwaombea eti wapate ajira alafu mpumbavu huyo atokomee na sadaka zao huku akiliacha kundi la raia wa kichina likiteseka kutafute hela zingine za kufanyiwa maombi mengine.
 
Wachina wameepuka mengi sana,na wanajielewa kwa hilo tuwapongeze,uislam ni dini ya hovyo bora mtu budu hata nyani kuliko kuwa muislam.
Hao waislam munaowaita ni watu wa hovyo ndio wanaoongoza kuwasaidia mbwa koko nyie.
Hii Tanzania inalishwa na waislam na matajiri wakuu ni waislam.
Huyo Said Salim Bakhresa kawafungulia njia nyingi za maendeleo mbwa nyie mbona hatukuona tajiri wa kikristo??
Serikali yenu ilikaribishwa OIC ipewe mikopo pasi na riba na pasi na masharti hamkuenda ila mkang'ang'ana nchi za kikristo zinazowapa riba kuba na zinazowasainisha mikataba ya kulawitiana.
 
Hapo Azam kwa Bakhresa kuna waajiriwa wangapi wa kikristo??
 
Wengi sana kuanzia madereva mpaka upande wa media na ukitaka nakutajia.
Tena upande wa Azam media wakristo wamefurika kuliko waislam.
Sio Azam ninayo ijua mm, idadi ya wakristo haizidi 5% na waliokuwepo wengi wao ni wa nafasi za chini sana.

Enhe wataje??
 
Sio Azam ninayo ijua mm, idadi ya wakristo haizidi 5% na waliokuwepo ni wa nafasi za chini sana.

Enhe wataje??
Pole yako.
Nina ndugu afanyae kazi Azam na nafaham hilo.
Mameneja wa televisheni za azam wapo wakristo.
Mameneja wa waandaaji wa burudani za tamthilia Azam wapo wakristo e.t.c na e.t.c.
Usikariri bro.
 
Sio Azam ninayo ijua mm, idadi ya wakristo haizidi 5% na waliokuwepo wengi wao ni wa nafasi za chini sana.

Enhe wataje??
Tukianza na mkurugenzi tu wa Azam media ni mkristo Tido Dustan Muhando.
Charles Hillary nae kabla hajaitwa ikulu Zanzibar alikua azam media na ni mkristo na alikua meneja wa UTV.
 
Safi sana, bado hapa tu Tanzania sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…