Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nadandia na sipati madhara. Umeshamponda? Umekumbuka kuiombea China? China ni Marafiki zetu.Usidandie treni kwa mbele, pitia uzi utakuta comments zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadandia na sipati madhara. Umeshamponda? Umekumbuka kuiombea China? China ni Marafiki zetu.Usidandie treni kwa mbele, pitia uzi utakuta comments zangu.
Waislam waattoka huko na waliwaosilimisha kama walivyofanya Guantanamo.Wamewafungia waislam kwenye makambi maalum.
Huko wanalishwa kitimoto kwa nguvu pamoja na kufundishwa ukomunisti.
Wameamua kudhibiti ugaidi mapema kabisa
Ustaaz punguza jazba! TakbiiiiirNinachowapendea china ni kwamba si wanafki, hata ukristo unapigwa vita.
Huu uzi umejaa wakristo wanafki tu wanafurahi msikiti kubomolewa, wakati ukweli ni kwamba dini ZOTE ni upumbavu.
Mimi maoni yangu hapa umetoa point nzuri sana, ila sjajua kama unafahamu umetoa point gani.Hata angola hawakutaka kitu hicho, kule america ya kusini sijui kama kuna misikiti kule, mexco, colombia, uruguay, peru, argentina, brazil, costa rica, equardo, venezuela, cuba, dominica, haiti na kwingineko huko kama kuna misikiti ni ya kuhesabika. Huo utamaduni wa kiarabu tuwaachie waarabu allah wao, wengine hatumjui na hatuhitaji
Ndio hao asilimia 5 sasa! Wengine wote ni vibagalashiaTukianza na mkurugenzi tu wa Azam media ni mkristo Tido Dustan Muhando.
Charles Hillary nae kabla hajaitwa ikulu Zanzibar alikua azam media na ni mkristo na alikua meneja wa UTV.
Hapa tanzania kuna waabudu sanamu na miungu na mizimu wengi mno,kwa hiyo hawaendi misikitini wala makanisani,ina maana wote ni matajiri?Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.
Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.
China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini. Maana wangekuwa wanalala makanisani kutoana mapepo yasioonekana, badala ya kutumia muda huo kulala viwandani kutengeneza utajiri wa raia mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi.
Mtu kama masanja alieishia darasa la saba anapiga hela ndefu kutoka kwa waumini masikini, huku maprofesa wenye vyeti vyao wakishindia mihogo na maji ya kunywa.
Waswahili wanasema''Aisifuye mvua imemnyeshea,na alisifuye jua lime mwangazia..."Mkuu umesoma vizuri nlichoandika kweli?
Nimesema kama wewe ndio umeanzisha hauwezi kuwa masikini. Hapa namaanisha huko zilipoanzishwa au kwa kiswahili ulichozoea huko "zilipotoka".
! Mbona huko uarabuni dini yenu ilipoanzia hawapigani kung fu?Waislam waattoka huko na waliwaosilimisha kama walivyofanya Guantanamo.
Unafahamu kuwa Waislam ndiyo waliifikisha na kuifundisha Kung Fu China?
Sema wanaripuliwa na mabomu tu.! Mbona huko uarabuni dini yenu ilipoanzia hawapigani kung fu?
Wanalipuana na mabom tu
Dini ilikuwa ni lazima zianzie middle east ili kuenea Duniani pote kwa sababu zama hizo sehemu nyingi za dunian zilikuwa tupu.kwa sababu zimebeba tamaduni zao,,,sio wewe ulieletewa inabidi uache zak
P.umba.vu hujui Kila aina ya elimu duniani imeanzia kwa waislam?! Mbona huko uarabuni dini yenu ilipoanzia hawapigani kung fu?
Wanalipuana na mabom tu
kila sehemu na imani zake,,,hizo dini zimetapakaa sababu ya ushawishi wa watawala wake ,bila nguvu ya watawala hizo dini zingebaki hukohuko tu,,,ndo maana mchina hataki habari za dini za kigeni maana anaona ni namna nyingine ya kutawaliwaDini ilikuwa ni lazima zianzie middle east ili kuenea Duniani pote kwa sababu zama hizo sehemu nyingi za dunian zilikuwa tupu.
Waafrika hatuna dini maalumu kwa ajili yetu.Kila mmoja alikuwa na utaratibu wake
Asante kwa kutuelezea dini zilitokea wapi, je unaweza kuchambua dini zinaenda wapi? Yani baada ya miaka 1000 ijayo hali itakuwaje?Dini ilikuwa ni lazima zianzie middle east ili kuenea Duniani pote kwa sababu zama hizo sehemu nyingi za dunian zilikuwa tupu.
Waafrika hatuna dini maalumu kwa ajili yetu.Kila mmoja alikuwa na utaratibu wake
ndo mnavyodanganyanaP.umba.vu hujui Kila aina ya elimu duniani imeanzia kwa waislam?
uislam unaenda kuharibiwa kama ulivyoharibiwa ukristo maana kwa sasa mmefocus kwenye quantity na sio quality na humohumo ndo vinega wakucheza na dini ndo wanamopitiaAsante kwa kutuelezea dini zilitokea wapi, je unaweza kuchambua dini zinaenda wapi? Yani baada ya miaka 1000 ijayo hali itakuwaje?
Kwa mtazamo wangu uislam utatawala Dunia, ukriso utakufa.
Njie magaidi mnawaza vita na ngono tuWakipigwa dhoruba/majanga ya kiasili mtakuja kusema tuwaombee kwa imani zetu hizihizi wanazozikataa leo..
Hiyo kitu haiwezekan kwenye uislam, uzuri Quran ishakamilisha Kila kitu na Muhammad ndiye mtume wa mwisho, akijitokeza mtu kama Mwamposa kwenye uislam asubuhi tu mtamkuta amening'inizwauislam unaenda kuharibiwa kama ulivyoharibiwa ukristo maana kwa sasa mmefocus kwenye quantity na sio quality na humohumo ndo vinega wakucheza na dini ndo wanamopitia
ritual za agano la kale hata manabii walizifanya sana na sio ichawi ila baada ya christu zote ni batili ndo maana pazia la hekalu lilichanika katiSawa Sawa huku kuna mgogoro wa Dini za kimila ukionekana una practice wanakuita mchawi