China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

hii ilifanyika mwaka 2017, 2018 na 2019 ambapo waliona hiyo sehemu ya kaskazini ina Waislam wengi sana na misikiti mingi na watu hawafuati tena Dini yao ya Kimila.
Hivyo wanasiasa waliamua misikiti isikae karibu karibu (iliyopo karibu iunganishwe uwe mmoja - kwa kuvunja mingine)
Lakini lengo likiwa ni kuvutia watoto na Vijana warudi kwenye Dini yao ya Kimila
hahaha dini eti dini yao ya kimila "Buddhism ni dini yakimila na uislam ni mila za kiarabu" discuss
 
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
View attachment 2872615

After👇
View attachment 2872616

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
View attachment 2872619
Link👇;
Systematic Uighur Oppression: China Demolishes Mosque, Builds Public Toilet In Its Place

I can't write everything, for more information go to these websites;

Clashes at ancient China mosque over planned demolition

China closing hundreds of mosques in northern regions, rights group says

China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas.
Hizo nchi zimelaaniwa
 
hii ilifanyika mwaka 2017, 2018 na 2019 ambapo waliona hiyo sehemu ya kaskazini ina Waislam wengi sana na misikiti mingi na watu hawafuati tena Dini yao ya Kimila.
Hivyo wanasiasa waliamua misikiti isikae karibu karibu (iliyopo karibu iunganishwe uwe mmoja - kwa kuvunja mingine)
Lakini lengo likiwa ni kuvutia watoto na Vijana warudi kwenye Dini yao ya Kimila
Yani wewe iweke vyovyote utavyoiweka.
 
Asante kwa kutuelezea dini zilitokea wapi, je unaweza kuchambua dini zinaenda wapi? Yani baada ya miaka 1000 ijayo hali itakuwaje?

Kwa mtazamo wangu uislam utatawala Dunia, ukriso utakufa.
Dini zipo hadi mwisho wa dunia.
Waislamu lazima usali msikitini,Ukristo hata online tu unasali thus ulaya wameamia kusali online
 
Hiyo kitu haiwezekan kwenye uislam, uzuri Quran ishakamilisha Kila kitu na Muhammad ndiye mtume wa mwisho, akijitokeza mtu kama Mwamposa kwenye uislam asubuhi tu mtamkuta amening'inizwa
kikubwa sio maandiko,,,ishu ni lifestyle..............tena wale wa misimamo mikali ndo wanaenda kupotea kabisa wanabaki wale wa leo msikitini baadae kwenye viti virefu baa
 
Unafahamu kuwa Waislam ndiyo waliifikisha na kuifundisha Kung Fu China?
Acheni kudanganya watu😅 Kung Fu is grounded in the philosophy of Taoism.
Taoism, pre-dates Islam, it even pre-dates Buddhism(one of the oldest religions in the world) which has played a significant role, given kung fu was first practised by Chinese Monks who later established the Shaolin Temple.

Yaan waislamu ni watu waongo, waongo saaana, na hii ni kwa sababu mtume wenu kawaruhusu kudanganya kama una nia ya kuutetea uislamu, ukizungumzia kung fu kuanzishwa na uislamu unachekesha, kung fu pre-dates Islam, Islam is only 1400 years old alaf unashindana na dini za zamani kama Taoism na Buddhism.

What a disgrace😅
 
Back
Top Bottom