Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ha ha haWew yaan unafananisha SGR na HSR takataka ni wewe aisee af unaambia yeye ni wakwanza yaan Ata mataifa mengine makubwa hakuna af unatoa povu aisee kwa sgr hii tujipige kifuani mara tatu
Ha ha haWanao ichukia China kwa hatua kubwa ya maendeleo,watakuja kusema hiyo ni copy and paste ya kutoka USA.
Uchawi huo ha ha haWe panda hizo, mi siamini chochote cha mchina.
Kaka ndo mana gari ya mwaka 2002 ikija huku 2024 tuiona mpya kabisaKwa wenzetu nazan huko hakuna ujinga wa kuendesha gari private km zaidi ya 200,maana kama kuna hv vitu,gari litabak la kwenda nalo sokoni
Huu ujinga wa kuendesha gari lako km zaidi ya 500 utabak huku kwetu,na tutakufa sana kama wachaga mwaka huu
Wanao ichukia China kwa hatua kubwa ya maendeleo,watakuja kusema hiyo ni copy and paste ya kutoka USA.
Hamna mkuu, niliwai kuuziwa nokia flani ya kichina N92 waliandika Nokla bila kujua badae livyoanza kuongea kichina ndo nikajua nimechapwa.Uchawi huo ha ha ha
Kwa wenzetu nazan huko hakuna ujinga wa kuendesha gari private km zaidi ya 200,maana kama kuna hv vitu,gari litabak la kwenda nalo sokoni
Huu ujinga wa kuendesha gari lako km zaidi ya 500 utabak huku kwetu,na tutakufa sana kama wachaga mwaka huu
Si ajabu simu ulotumia ku post hapa imetengenezwa na mchina 😂😂Treni la Mchina linaweza kumiss breki likipitiliza vituo, siamini chochote toka kwa mchina,hata wenyewe ni km sio binadamu hivi
Ha ha ha haSi ajabu simu ulotumia ku post hapa imetengenezwa na mchina 😂😂
Hiyo SGR ibebe mizigo nitaona ina tija ika kama ni kubeba abiria ni mradi wa hasara tuWew yaan unafananisha SGR na HSR takataka ni wewe aisee af unaambia yeye ni wakwanza yaan Ata mataifa mengine makubwa hakuna af unatoa povu aisee kwa sgr hii tujipige kifuani mara tatu
Kwa spidi iliyotumika kukata umbali huo abiria hwajatoka na kizungu zungu kweli?Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29
Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing
Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.
1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu) kwa masaa 3 tu, just imagine ni kama tu umepanda mwewe wa ardhini
Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
View attachment 3189081View attachment 3189082View attachment 3189083View attachment 3189084View attachment 3189085View attachment 3189087
View attachment 3189091View attachment 3189092
View attachment 3189093View attachment 3189094
Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
Lkn huwez kuita sgr ni takataka mkuuHiyo SGR ibebe mizigo nitaona ina tija ika kama ni kubeba abiria ni mradi wa hasara tu
Hata HSR inatumia standard gauge ila tofauti ni kwamba Wachina wameamua HSR zenye kasi zitumike kwenye miji mikubwa ili kurahisisha shughuli za uzalishaji watu wanasafiri kutoka eneo moja hadi lingine fasta
Halafu treni za umeme zenye kasi ndogo kama hiyo mnayoiita SGR ya hapa Tanzania ambayo ni 120km/hr kwao ni freight trains za kubeba mizigo wana freight trains zinazotoka China zinachanja mbuga mpaka Ulaya. Hii ndio akili sasa
Ndani ya nchi kwenye miji mikubwa imejengwa HSR kuchapulisha uzalishaji baada ya hapo mfano wa hii SGR yetu kusafirisha bidhaa
Hayo ni maendeleo binafsi ya mtu au kampuni usiyakejili siajabu wewe kitu ulichofanikiwa ni kuzindua boksa mpya tuSisi tunajiona wajanja, K Vant wamezindua K Vant gold, kujipongeza na mafanikio ya miaka 20
Ukiangalia kwenye picha bidhaa za mchina na Uhalisia inakuwaga ni mbingu na ardhi.Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29
Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing
Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.
1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu) kwa masaa 3 tu, just imagine ni kama tu umepanda mwewe wa ardhini
Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
View attachment 3189081View attachment 3189082View attachment 3189083View attachment 3189084View attachment 3189085View attachment 3189087
View attachment 3189091View attachment 3189092
View attachment 3189093View attachment 3189094
Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
Kununua vitu fake ni upuuzi wako mwenyewe tu kutaka kupigwa, hizo ni project za vijana tu wanakaa mahali wanafyatua mizigo.Hamna mkuu, niliwai kuuziwa nokia flani ya kichina N92 waliandika Nokla bila kujua badae livyoanza kuongea kichina ndo nikajua nimechapwa.
Mara ya pili tena simu, ya tatu tv.
Agiza nguo walicholeta mpk leo sina hamu, na zingine hazijaja.
Ila nadaiwa
Fake,fake,fake
Tujifunze mazuri kutoka kwa wenzetu....mazuri zaidi hupatikana kwa KUJITOA WENYEWE na si kwa KUPEWA NA YEYOTE.....
Ukiangalia kwenye picha bidhaa za mchina na Uhalisia inakuwaga ni mbingu na ardhi.
Hizo archtect desin nzuri sana.
Check your fact boy,lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?