China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

China yavunja rekodi tena yazindua treni ya umeme yenye kasi kubwa zaidi Duniani

Kwa wenzetu nazan huko hakuna ujinga wa kuendesha gari private km zaidi ya 200,maana kama kuna hv vitu,gari litabak la kwenda nalo sokoni

Huu ujinga wa kuendesha gari lako km zaidi ya 500 utabak huku kwetu,na tutakufa sana kama wachaga mwaka huu
Kaka ndo mana gari ya mwaka 2002 ikija huku 2024 tuiona mpya kabisa
 
Wanao ichukia China kwa hatua kubwa ya maendeleo,watakuja kusema hiyo ni copy and paste ya kutoka USA.
Yeah watasema hivyo wakati Marekani kwenye HSR treni lake la kasi zaidi lina 200km/hr

Ukitembelea Metro rail lines za majiji ya Marekani na ya China cha kwanza utagundua treni za Marekani ziko slow sana

Ukienda hata katika miji midogo ya China mfano nilikuwa kwenye mji wa Nanjing, oyaa trains and stations are always clean, hi-tech, well organized, za kasi kuliko hata za majiji makubwa ya Marekani kama N.Y, L.A, Miami, Chicago n.k ambazo ni chafu, delay, mwendo wa kobe

Usiombe sasa uende kwenye majiji makubwa ya China kama Shanghai, Beijing, Shenzhen n.k ni kama kila baada ya dk 3 treni inaingia na kutoka fast, on time, comfortable

Kwenye speed ya HSR China inaweka rekodi na kuvunja yenyewe

Kabla ya hii 450km/hr walikuwa na treni ya Fuxing yenye 350km/hr ilikuwa inashika rekodi ya dunia hata ya Mjapan Shikansen ambayo ni 320km/hr haimfikii Fuxing hadi kesho

Na bado Mchina ana project ya 1000km/hr iko kwenye majaribio

Inapohusu HSR tech China iko miles ahead of U.S na West kwa ujumla hata Japan na South Korea hawamfikii Mchina kwa sasa
 
Kwa wenzetu nazan huko hakuna ujinga wa kuendesha gari private km zaidi ya 200,maana kama kuna hv vitu,gari litabak la kwenda nalo sokoni

Huu ujinga wa kuendesha gari lako km zaidi ya 500 utabak huku kwetu,na tutakufa sana kama wachaga mwaka huu
Umesema vyema mkuu

Hilo nimejionea ikifika miezi ya likizo China kama New Year's Day, Chinese New Year, Qingming Festival, Dragon Boat Festival, Mid Autumn Festival na National Day

Wachina wengi husafiri kwenda makwao kutoka kwenye majiji makubwa huwezi kukuta eti familia inahaingaika wasafiri na magari ya nyumbani

Wengi hutumia high speed trains na huwa inakuwa miezi ambayo metro rail lines na railway stations ziko busy sana
 
Wew yaan unafananisha SGR na HSR takataka ni wewe aisee af unaambia yeye ni wakwanza yaan Ata mataifa mengine makubwa hakuna af unatoa povu aisee kwa sgr hii tujipige kifuani mara tatu
Hiyo SGR ibebe mizigo nitaona ina tija ika kama ni kubeba abiria ni mradi wa hasara tu

Hata HSR inatumia standard gauge ila tofauti ni kwamba Wachina wameamua HSR zenye kasi zitumike kwenye miji mikubwa ili kurahisisha shughuli za uzalishaji watu wanasafiri kutoka eneo moja hadi lingine fasta

Halafu treni za umeme zenye kasi ndogo kama hiyo mnayoiita SGR ya hapa Tanzania ambayo ni 120km/hr kwao ni freight trains za kubeba mizigo wana freight trains zinazotoka China zinachanja mbuga mpaka Ulaya. Hii ndio akili sasa

Ndani ya nchi kwenye miji mikubwa imejengwa HSR kuchapulisha uzalishaji baada ya hapo mfano wa hii SGR yetu kusafirisha bidhaa
 
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29

Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing

Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.

1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu) kwa masaa 3 tu, just imagine ni kama tu umepanda mwewe wa ardhini

Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
View attachment 3189081View attachment 3189082View attachment 3189083View attachment 3189084View attachment 3189085View attachment 3189087

View attachment 3189091View attachment 3189092
View attachment 3189093View attachment 3189094

Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
Kwa spidi iliyotumika kukata umbali huo abiria hwajatoka na kizungu zungu kweli?
 
Hiyo SGR ibebe mizigo nitaona ina tija ika kama ni kubeba abiria ni mradi wa hasara tu

Hata HSR inatumia standard gauge ila tofauti ni kwamba Wachina wameamua HSR zenye kasi zitumike kwenye miji mikubwa ili kurahisisha shughuli za uzalishaji watu wanasafiri kutoka eneo moja hadi lingine fasta

Halafu treni za umeme zenye kasi ndogo kama hiyo mnayoiita SGR ya hapa Tanzania ambayo ni 120km/hr kwao ni freight trains za kubeba mizigo wana freight trains zinazotoka China zinachanja mbuga mpaka Ulaya. Hii ndio akili sasa

Ndani ya nchi kwenye miji mikubwa imejengwa HSR kuchapulisha uzalishaji baada ya hapo mfano wa hii SGR yetu kusafirisha bidhaa
Lkn huwez kuita sgr ni takataka mkuu
 
Kwa mara nyingine tena China imeonyesha ina high tech kwenye high speed train kwa kuzindua treni yenye kasi ya 450km/hr mnamo Desemba 29

Kwa sasa inashikilia rekodi ya kasi kubwa zaidi duniani. Treni hilo limepewa jina la CR 450 limezinduliwa jijini Beijing

Litakuwa na safari kati ya Beijing na Shanghai (1200km) Katika majaribio limetumia masaa 3 tu.

1200km ni sawa na umbali wa kutoka Dar mpaka Kigoma (Kasulu) kwa masaa 3 tu, just imagine ni kama tu umepanda mwewe wa ardhini

Improvements in speed, energy efficiency, interior noise reduction and braking performance
View attachment 3189081View attachment 3189082View attachment 3189083View attachment 3189084View attachment 3189085View attachment 3189087

View attachment 3189091View attachment 3189092
View attachment 3189093View attachment 3189094

Fast, On time, Comfortable. China never stops!!! Always breaking the rules and setting new standards
Ukiangalia kwenye picha bidhaa za mchina na Uhalisia inakuwaga ni mbingu na ardhi.

Hizo archtect desin nzuri sana.
 
Hamna mkuu, niliwai kuuziwa nokia flani ya kichina N92 waliandika Nokla bila kujua badae livyoanza kuongea kichina ndo nikajua nimechapwa.
Mara ya pili tena simu, ya tatu tv.
Agiza nguo walicholeta mpk leo sina hamu, na zingine hazijaja.
Ila nadaiwa
Fake,fake,fake
Kununua vitu fake ni upuuzi wako mwenyewe tu kutaka kupigwa, hizo ni project za vijana tu wanakaa mahali wanafyatua mizigo.

China wana simu na tv zao bora tu kuliko hata hizo zenye majina makubwa.
 
Tujifunze mazuri kutoka kwa wenzetu....mazuri zaidi hupatikana kwa KUJITOA WENYEWE na si kwa KUPEWA NA YEYOTE.....
Umesema vyema Chairman Mao Zedong aliwahi kusema

"Chinese must be good at learning."
–Mao Zedong

Na Wachina wanayaaishi maneno yake ndio maana wanazidi kuadvance kwenye sci tech

Mfano mzuri ni founder wa HUAWEI Ren Zhengfei ni mtumiaji mzuri wa simu za iPhone hata familia yake pia

Na ndio maana HUAWEI can make better smartphones than Apple

Founder wa Xiaomi licha ya kuwa wanatengeneza magari yao ila anawakubali sana CEOs na founders wa Porsche na Ferrari

Na ndio maana hata gari za Xiaomi zimekuwa zikipata global recognation na zinafanya vizuri kwenye race kama Ferrari na Porsche kwa sababu anajifunza kutoka kwa wengine

Nilichojifunza kwa Wachina they are never ashamed to learn from foreigners ndio maana wameweza kuitransform China kutoka kwenye a backward agricultural China into an advanced industrialized country

Ukiwa proud hautajifunza ukiwa humble utajifunza na hata kuwazidi walio juu yako

So we must be good at learning
 
Ukiangalia kwenye picha bidhaa za mchina na Uhalisia inakuwaga ni mbingu na ardhi.

Hizo archtect desin nzuri sana.
Umewahi kufika China ukapanda high speed trains zao mpaka useme kuna tofauti?

Mara nyingi nimeona hata watu wa West huwa wanakua amazed na wanachoona China.

Huwa wanapiga sana picha na kurekodi video ni vitu ambavyo hata kwao hakuna.

Na hivi China miezi ya karibuni imekuwa ikitoa offer ya visa free ya muda kwa watu wa mataifa mengine kuingia China

Wengi sana wanapotembelea China wanajionea tofauti kati ya yanayosemwa na propaganda za media za West na wanayojionea China
 
lini mara ya mwisho ulisikia treni la Mchina limemiss breki au kupata ajali?
Check your fact boy,
Treni za Tazara zinaongozwa na nani? Ni hao wachina,delay , derailment , wizi , kila kitu hovyo.
Na mambo mengi njiani huko hadi Kapiri mposhi.wanapiga deal zao.
Kubeba abiria ni mwamvuli tu.
 
Back
Top Bottom