CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

Hawa jamaa wanatusunbua kwa kweli. Sisi ndio kwanza tunataka kuanza uchimbajinwa mafuta wao wanaondoka wanaanza kutumia mafuta. Soon utasikia ulaya na maeekani wamepiga marufuku uingizaji na utengenezaji magari yanayotumia mafuta.


Maaamamam twafa.
 
Lakini Magari yao ya Umeme huwa yanaungua ghafla.
Unaweza kuwa umelipaki unaingia ndani ya Duka unatoka ukirudi unakuta scrap metal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…