Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Yale ya kuidichi dollars yaliishia wapi?
Na hapo lazima mrusi yuko nyuma ya mchina, japo mchina ndo anaonekanam yuko kimbele mbeleNa hiyo njia ya malipo ndiyo hutumika kuweka vikwazo,afadhali aisee ubeberu uishe
Yaani mchina ndo katangulizwa mbele na wahuni wa masharikiNa hapo lazima mrusi yuko nyuma ya mchina, japo mchina ndo anaonekanam yuko kimbele mbele
Angalia post #19 hapo juu na link iliyomo.Inamilikiwa na nani?
Hongera zake mchina ingawa western world still wako mbele ya muda kuna mfumo mpya wa cross borders payment system tena basi ni cryptos ambao very soon utatawala dunia nzima jisomee mwenyewe mtandaoni kampuni ya US inaitwa Ripple Labs, Inc na nyingine inaitwa Stellar Lumens. Mfumo wa Ripple Labs na huo wa Stellar Lumens inatumia sekunde 3-5 kutuma pesa ambayo ni chini ya huo mfumo wa mchina wa sekunde 7!.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya washindani wake kiuchumi na Kijeshi
BIG BREAKING! 🚨💵🪦
CHINA LAUNCHES GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK BYPASSING SWIFT
The People's Bank of China just connected its digital RMB to 10 ASEAN and 6 Middle Eastern nations, covering 38% of global trade.
This bypasses SWIFT and the US dollar entirely. Payments now clear in 7 seconds, not 3-5 days. Fees slashed by 98%.
Middle Eastern energy traders are in. ASEAN’s RMB trade hit 5.8 trillion yuan. Thailand settled oil in digital RMB.
While the US debates if digital currency is a threat, China has already built a global network across 200 countries.
This isn’t just payments. It’s a Digital Silk Road. It’s de-dollarisatio in action. And it’s happening NOW.
Safi sana big up to 🇨🇳🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya washindani wake kiuchumi na Kijeshi
BIG BREAKING! 🚨💵🪦
CHINA LAUNCHES GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK BYPASSING SWIFT
The People's Bank of China just connected its digital RMB to 10 ASEAN and 6 Middle Eastern nations, covering 38% of global trade.
This bypasses SWIFT and the US dollar entirely. Payments now clear in 7 seconds, not 3-5 days. Fees slashed by 98%.
Middle Eastern energy traders are in. ASEAN’s RMB trade hit 5.8 trillion yuan. Thailand settled oil in digital RMB.
While the US debates if digital currency is a threat, China has already built a global network across 200 countries.
This isn’t just payments. It’s a Digital Silk Road. It’s de-dollarisatio in action. And it’s happening NOW.
Ndo wale pro west wanaabudu dollar🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya washindani wake kiuchumi na Kijeshi
BIG BREAKING! 🚨💵🪦
CHINA LAUNCHES GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK BYPASSING SWIFT
The People's Bank of China just connected its digital RMB to 10 ASEAN and 6 Middle Eastern nations, covering 38% of global trade.
This bypasses SWIFT and the US dollar entirely. Payments now clear in 7 seconds, not 3-5 days. Fees slashed by 98%.
Middle Eastern energy traders are in. ASEAN’s RMB trade hit 5.8 trillion yuan. Thailand settled oil in digital RMB.
While the US debates if digital currency is a threat, China has already built a global network across 200 countries.
This isn’t just payments. It’s a Digital Silk Road. It’s de-dollarisatio in action. And it’s happening NOW.
Na mataifa mengi si yanafanya biashara na chinaHiyo ni kama unafanya biashara na China tu ila kama unafanya biashara na mataifa kama ya magharibi bado huwezi kukwepa SWIFT.
Na hata China mwenyewe kwenye biashara yake na mataifa mengine kama Marekani ambapo ndipo soko lake kuu lilipo lazima atumie tu SWIFT hana namna.
Na hata Russia moja ya masharti aliyoweka ili kusitisha vita vyake na Ukraine ni kurejeshwa kwenye mfumo wa SWFT kwani wanajua ina faida nyingi ikiwamo kumwezesha kufanya biashara na Marekani na marafiki zake.
Mambo mengi yanayofanyika kuhusiana na biashara duniani yana uongo mwingi sana ambayo hayawezi kubadilisha ukweli ulivyo na ni kitu ambacho wengi humu hawawezi kuelewa kwa sababu za kishabiki.
China kwenye biashara yake na Marekani lazima atumie tu dola na SWIFT hana namna nyingine yoyote ya kukwepa na isitoshe ana hifadhi kubwa sana ya dola za kimarekani kwenye benki kuu yao.
Kila kitu wabongo ninyi ni wajuaji na hakiwezekani baki hapo hapo ndo utajua kuwa ni replaced or notSwift payment system haiwezi ikawa repleced effectively, labda kwa miaka ya baadae sana
Nafikiri wewe hata hujui kinachoendelea. Angalia volume ya biashara kati ya Marekani na China halafu linganisha na China na mataifa hayo mengine labda unaweza ukapata cha kuongea.Na mataifa mengi si yanafanya biashara na china
Sicho alichomaanisha,alichomaanisha ni china kutumia huo mfumo wao kufanya biashara na mataifa mengine,jambo ambalo ni dhahiriNafikiri wewe hata hujui kinachoendelea. Angalia volume ya biashara kati ya Marekani na China halafu linganisha na China na mataifa hayo mengine labda unaweza ukapata cha kuongea.