China yazindua Global Digital Payment System na kuikacha Swift ya USA

Swift makao makuu yapo Belgium, sio US.
 
Jamaa inategemea nani anabizaa mhim so mchina akiamua sita unilepe hivi ww utakamaa na hiyo ststem yako kwanza itakuwa imeshaafungiwa kwa usalama wa china

kabla ya kuwa kimataifa inaanza na taifa / mataifa machache ndo wanatengeneza chain
Those are fictitious theories that won't prevail at all because on paper they appear feasible but practically they're not tenable.
 
Those are fictitious theories that won't prevail at all because on paper they appear feasible but practically they're not tenable.
Kwa nini zisiwezekane kwa hizo system zilishushwa kutoka mbinguni kama ww ni mvivu kufanya sio kila nchi inatabia ya kuamin kili kitu hakiwezekan wenzako wanafirikia wanafanya na yanatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…