CHINA'S Minister of Defense In Kenya For Meetings with Kenyatta

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
2fdd493a30d5348b666897f3363c56b2.jpg
587878805a5961ddd4288068f360ca85.jpg
f3f492da5152854b0f2a14cdd0686e30.jpg
 
Quick reply

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
i think he has came there to share with uhuru some modern techniques of rigging the election.chinese are known to be very smart on that.my thinking tho.[emoji23]
 
Hahaha Uhuruto hawatoboi kwa jinsi wanavyotapatapa kiaina wanatafuta support incase waki-rig election. Na kwa jinsi Magu alivyo karibu na RAO Uhuruto hawaishi hofu wanajua ya Gambia yaja!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Acheni rais wetu afanye kazi,sisi ndo tulimpigia kura tukitaka tutam'replace' na Raila Amolo Odinga au tumuongeze miaka mingine mitano.Eti sijui magu,ana kura ya Kenya?Kama huna kura na I.D ya Kenya,fyata bakuli jamaa!Hii si ile sarakasi ya fisiemu,KANU tulimchinja 2002 sisi.Kang'ura!
 
Uhuru ni Rais, mpeni kula za wingi.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha Uhuruto hawatoboi kwa jinsi wanavyotapatapa kiaina wanatafuta support incase waki-rig election. Na kwa jinsi Magu alivyo karibu na RAO Uhuruto hawaishi hofu wanajua ya Gambia yaja!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Kabisa

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Amekuja kuhakikisha usalama wanamichezo wao!

Alisikia alshabaab wameteka PS na askari akaona aje moja kwa moja

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Acheni rais wetu afanye kazi,sisi ndo tulimpigia kura tukitaka tutam'replace' na Raila Amolo Odinga au tumuongeze miaka mingine mitano.Eti sijui magu,ana kura ya Kenya?Kama huna kura na I.D ya Kenya,fyata bakuli jamaa!Hii si ile sarakasi ya fisiemu,KANU tulimchinja 2002 sisi.Kang'ura!
Unasema mlichinja KANU? Umesahau Uhuru Kenyatta ana kadi halali ya KANU na bado analipia uanachama[emoji33] [emoji33] [emoji33]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Unasema mlichinja KANU? Umesahau Uhuru Kenyatta ana kadi halali ya KANU na bado analipia uanachama[emoji33] [emoji33] [emoji33]

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
KANU ilikufa wewe acha umbea!Katiba pia haimkubali mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili.Sasa hivi wanajiita New KANU chini ya Nick Salat,walishanyenyekea wakaingia kimya kimya kwenye muungano wa U.Kenyatta,Jubilee!Hehe!
 
Wewe ulioana kadi yake inachomwa? Wanasiasa huwa wametunza kadi ili akihama anaonekana mwanachama mkongwe!

Uhuru bado anayo ile kadi na hiyo mpya kashachukua,

Wapi evidence Uhuru alirudisha yake?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana makamanda toka uchina kwa ziara yenu, very powerful delegation in deed, waswahili wangewavalisheni makofia yao ya chama, mabwege sana hao..
 
wamekuja kuhakikisha vijana wao hawashambuliwi na magaidi! Nothing more

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Wapi evidence Uhuru alirudisha yake?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Kurudisha nini?Mwenge wa chama au?Hayo maneno sisi hatuna.Ukijoin chama kipya unajiuzulu,kama una cheo kwenye chama chako cha zamani,afu unamwandikia registrar of parties barua,basi.Hamna cha mganga wala nini!
 
Wewe ulioana kadi yake inachomwa? Wanasiasa huwa wametunza kadi ili akihama anaonekana mwanachama mkongwe!

Uhuru bado anayo ile kadi na hiyo mpya kashachukua,

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ah wewe bana sipendi ubishi wa kitoto!Ukiwa mwanachama wa vyama viwili hata kugombea kiti chochote huwezi!Mambo ni digitali siku hizi na wakenya wanajua kufatilia mambo haya.Kama sijakosea mwalimu wako lazima alijinyonga aisee kisa we mgumu sana wa kuelewa!
 
Naona huijui vizuti katiba ya Kenya! Hivi unategemea Uhuru atagombea tena uchaguzi gani baada ya huu!

Mimi nimekwambia uhuru bado ni mwanachama wa KANU, kuwa mwanachama haimaanishi lazima ugombee uongozi wa nchi!

Akimaliza mihula yake miwili ya uongozi ataenda huko KANU kugombea nafasi za kichama!

Sasa unataka kunambia katiba ya Kenya pia itamkataza?

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Nani kasema kwamba U.K ata gombea urais tena baada ya uchaguzi huu? Naongelea vigezo vilivotumiwa na IEBC kumkubalia agombee urais '013 na '017. Kulingana na katiba ya Kenya,kigezo kimoja ni kwamba asiwe mwanachama wa vyama viwili! Sasa kama yeye mwenyewe alikuambia bado yupo KANU,hiyo ni siri yenu nyie wawili! Siumesema katiba ya Kenya unaijua wewe,haya nimekubali basi,rudi kwa mada jombaa.
 
Back
Top Bottom