Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Inabidi tufike ili mkoloni mweusi ashikishwe adabuMungu ajaalie tusifikie huko
Haitokua na maslah kwa tulio wengiInabidi tufike ili mkoloni mweusi ashikishwe adabu
Wao ndio wanazamia kwetuHalafu sijasikiaga watu wakizamia kwenda China.(rate kubwa)
Haswaa!Tumekwisha
Kuna watz wengi wamefungwa Uchina watu wamejaribu kwenda ila ndio hivyo pagumuHalafu sijasikiaga watu wakizamia kwenda China.(rate kubwa)
Kweli kuna wabongo weng wamefungwa China lkn pia kuna wabongo wengi wanaish china na kuna wabongo wengi hawamaliz miez sita bila kwenda China kiufup ni rahis sana kutusua ukidil na China kwa kufuata nidham za kibiasharaKuna watz wengi wamefungwa Uchina watu wamejaribu kwenda ila ndio hivyo pagumu