China’s relationship with Africa in a cartoon description

China’s relationship with Africa in a cartoon description

There is no free lunch,
Tuungane tuwe na negotiations power kubwa kudeal na wazungu+wachina, Otherwise wataendelea kuenjoy matunda ya Afrika huku ss tukitaabika.
 
Kuna watz wengi wamefungwa Uchina watu wamejaribu kwenda ila ndio hivyo pagumu
Kweli kuna wabongo weng wamefungwa China lkn pia kuna wabongo wengi wanaish china na kuna wabongo wengi hawamaliz miez sita bila kwenda China kiufup ni rahis sana kutusua ukidil na China kwa kufuata nidham za kibiashara
 
Back
Top Bottom