Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi.
China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na Military supply-chain management.
Critical technology: technology ambayo inawawezesha kutengeneza vifaa muhimu sana ambavyo watengenezaji wa silaha wa Marekani wamekuwa wakinunua kutoka kwa suppliers wa China ili kutengeneza vifaa vya kijeshi.
Military supply chain management: Makampuni ya China yana uwezo mkubwa katika usimamizi wa mpangilio mzima wa ugavi wa kijeshi. Kuanzia manunuzi, kuzalisha na ku-supply bidhaa na huduma kwa mteja kwa ajili ya matumizi ya vifaa vya kijeshi.
Hii imefanya China kuwa kinara wa suppliers wengi wa vifaa na materials kwa US Army, Navy, Airforce na DOD Agencies.
Mwaka jana, asilimia 41 ya semiconductors katika mifumo ya silaha za Marekani na miundombinu inayohusiana ilitolewa kutoka China na kuuzwa kwa defence contractors wa Marekani.
Semiconductors kutoka China hutumika katika baadhi ya silaha za hali ya juu zaidi za Marekani, kuanzia meli za kivita, aircraft carriers, stealth bombers, ballistic and anti-ship missiles na ndege vita.
Baadhi ya components muhimu, kama laser na microwave, defence contractors wa Marekani wanaendelea kutegemea suppliers wa China.
Aircraft carrier mpya ya Marekani' Gerard R. Ford inategemea zaidi ya semiconductors 6,500 zilizotengenezwa China kufanya kazi.

US F-35s use an array of materials and components sourced from China
China is a major producer of components used in equipment such as night-vision goggles.
Ukija upande wa madini. Madini 18 kati ya 37 muhimu yanayotumika kama malighafi za kutengeneza vifaa vya hali ya juu vya kijeshi na vya ulinzi yanapatikana kwa kiasi kikubwa sana nchini China. Ukianza na rare earths, gallium na bauxite.
Ndege bora za kijeshi za Marekani kama F-35, engine zake na mfumo wake wa flight control zinatengenezwa na sumaku muhimu za utendaji wa juu. Mfumo huo wenye ubora wa hali ya juu unatengenezwa kwa kutumia madini yaliyo kwenye rare earths.
Madini ya gallium yanatumika kutengeneza chips za hali ya juu ambazo ni muhimu kwenye utengenezaji wa silaha na vifaa vya ulinzi kijeshi.
Marekani imepanga kuongeza kujitegemea kwenye uzalishaji wa vifaa muhimu kwa silaha zake na kununua kutoka kwa nchi marafiki na washirika wa Marekani.
Murphy Dougherty:
"Tunajua si rahisi kujiondoa China kikamilifu kutoka kwa ugavi wa vifaa vya kijeshi vya Marekani."

Anachosema Murphy Doughtery ni sahihi kwa sababu US Army na Navy wamepunguza kwa kiasi fulani kutegemea kampuni za China kama suplliers wa vifaa.
Lakini Air Force na Pentagon agencies wameongeza matumizi ya vifaa kutoka kwa wazalishaji wa China.
Je, ni sahihi Marekani inapoilaumu China kwa kuiuzia Urusi vifaa (military hardware) zinazoiwezesha Urusi kutengeneza silaha?
CREDIT: US Army, Navy reduce dependence on China for ‘critical technology’