ChinaTech: Marekani yataka kupunguza utegemezi wa vifaa vyake vya kijeshi kutoka China

Kuna wale waliokuwa wanasema bidhaa za China hazina ubora copy and paste, inakuwaje hadi defence contractors wa Marekani wananunua baadhi ya components za silaha zao kutoka China?

Cc PakiJinja Imeloa Aleyn
Utakuta vimetengenezwa na wamarekani waliowekeza China na ujue kwamba bila ya nchi za magharibi kufanya uwekezaji mkubwa (Massive Investment) nchini China basi China wangekuwa bado wanachoma mahindi kama Tanzania.
 
Hata Urusi anaitegemea mno China kuendesha vita huko Ukraine
 
Utakuta vimetengenezwa na wamarekani waliowekeza China na ujue kwamba bila ya nchi za magharibi kufanya uwekezaji mkubwa (Massive Investment) nchini China basi China wangekuwa bado wanachoma mahindi kama Tanzania.
Zingekuwa ni investment zao huwa hawaziongezei tariffs wala wasingethubutu kusema wanapunguza matumizi nazo.

Ni China-based manufacturers ndio maana wanafanya hivyo na hata baadhi ya Chinese suppliers Marekani wamewapiga ban kwa sababu ya kuiuzia Russia vifaa vya kijeshi
 
Hapo ndipo hamas na Wayemeni wanaponifurahisha, wanjiundia wenyewe kila wanchoweza. Na wanawabamiza kweli wamerekani na mazayuni na silaha zao nzito nzito.

Mmarekani kishaikimbiza meli yake ya kubeba ndege za kivita huko bahari nyekundu, kaona haya mashambulizi, wataizamisha hii, nduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…