Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans.
The world's first transcontinental live telesurgery
Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje?
Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine.
Huu ni mfumo wa kitabibu wa upasuaji kwa kutumia robot (robotic surgery) uliotengenezwa na timu ya wataalamu wa China.
Ambapo madakatri wa Kichina walikuwa Rome, Italy mubashara wakimfanyia upasuaji wa tezi dume mgonjwa aliyekuwa Beijing, China na kufanikiwa.
Roboti za upasuaji zilikuwa China (Asia)na madaktari Wachina operators walikuwa Rome, Italy (Ulaya) umbali wa km 8100.
Haya ni mapinduzi ya kwanza ya kitiba kufanywa duniani. Wataalamu mbalimbali duniani wamesema huenda miaka ya mbeleni wagonjwa hawatahitaji kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya upasuaji wa matatizo makubwa ya kiafya.

Daktari Mchina akiwa Rome akimfanyia upasuaji mgonjwa aliye Beijing kwa kutumia robot
#Made in China 2025 (MIC25)
"Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation. Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...