Chinese food zinanishinda kula, kuna wengine wenye tatizo hili?


Afadhali yako unatapika mimi nikila kinapitiliza kutoka huku nyuma wakati huo huo wa kula
 
Miaka yote nloishi china sijawahi kukielewa chakula chao, hakina fleva kabisa maswala ya spices kwao hayana kipaumbele.sana sana napendelea chakula cha wachina wa Xinjiang,maana wao wanapika kipwani zaidi tafauti na wachina wengine

Vyakula vyao ndo kama hivi








 
mimi kama wewe mkuu...
 
Chinese food is the best food in the world.Huenda spices zinakushinda.Kuna msemo unasema"act like a British gentleman, eat the Chinese food ,marry a Japanese woman.Hotel kubwa zilizo nyingi wapishi ni wachina sehemu nyingi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea kama umeishi beifang au nanfang...

Beifang ndio kuna vyakula weird, lakini ukiishi kusini kusini kuna dishes poa sana mfano dishes za sichuan l, changsha, wuhan kote huko ziko bomba sana...

Ushawahi kula "wuchang yu 武昌鱼wewe?
 
I don know nothing about em european food..when it comes to BBQ or beef fillet kuna wamexican na brazilians buanaaa...

Kwenye hayo mambo ya BBQ, mambo ya Choma choma nadhani ma boer wa RSA wako vizuri mno na BRAAI zao
 
Hahah mkuu mi nlikuwa zaidi shenzhen na guangzhou,sijawahi kuvipenda vyakula vyao kwa kweli sjawahi hata jisumbua kujua majina,siunajua wale kitimoto ndo mboga ya taifa na mie mwislamu,tokea nilivyonusurika kulishwa wali kitimoto ndo nkakimbilia kwa waxinjian mana wale tunafanana kiimani so vyakula vyao ni halal.
 
Nimejaribu mavyakula mengi, lakini ya kichina nimekoma!!

Sitasahau mateso nliyoyapata Hong Kong...
 
Naam ukiwa Guangzhou au Shenzhen ni bora uende kwa hao mabwana, ukipata mifan yako iliyochanganywa na jidan, na hiyo dapanzhi au xiaopanzhi...hahah...mambo yanakuwa barabara!!!

 
Wachina wanapika nyie, wana vyakula ving ni ww tu chaguo lako - 我真喜欢吃中国菜
 
Rafiki yangu alikwenda kwenye conference China alikaa mwezi mmoja. Anadai alikuwa viazi kila siku kwa mwezi mzima, vyakula vya ki-China vilimshinda.
 
Chakula cha kichina ni michemsho yenye ladha asilia na mwonekano asilia. Tofauti na vyakula vya kihindi ambavyo uonekano wa asilia u afichwa ka kukaangiza kwingi. Kila kilichopikwa utakiona kwa uhalisi wake. Ndio naama ulitapika kwa kuona, kuhofia na kudhania. Ukivizoea vyakula vya kichina ni vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam ukiwa Guangzhou au Shenzhen ni bora uende kwa hao mabwana, ukipata mifan yako iliyochanganywa na jidan, na hiyo dapanzhi au xiaopanzhi...hahah...mambo yanakuwa barabara!!!
Hahah hayo majina sasa ndo unaniacha hoi,mi nlikuwa naangalia tu picha kwenye menyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…