Chinese food zinanishinda kula, kuna wengine wenye tatizo hili?

Chinese food zinanishinda kula, kuna wengine wenye tatizo hili?

Mkuu ungekwenda tu kwenye migawahawa ya kihindi au ya waarabu,ungekutana na vyakula vifananavyo na vya home,ingawa kwenye pilipili huwa wanafanya sifa.
Hahahaa hapo kwa red LOL...

Kuna kitaa walikuwa wanapika vyakula vya kiafrika... hiyo bei yake sasa??

Basi mi nikalazimika kujiokoa kwa mikate tu... maana hakukuwa na namna tena... Sema vyakula vya Ki-Thailand mwake sana. Viliniokoa kiaina
 
Vyakula vya kiChina hata mimi kwa kweli siviwezi. Hata pweza wanaouzwa hapa Dar wamenishinda
 
Hahahaa hapo kwa red LOL...

Kuna kitaa walikuwa wanapika vyakula vya kiafrika... hiyo bei yake sasa??

Basi mi nikalazimika kujiokoa kwa mikate tu... maana hakukuwa na namna tena... Sema vyakula vya Ki-Thailand mwake sana. Viliniokoa kiaina
Next time ukienda tena pitia pale chunking mansion,kuna chakula cha nyumbani,wali samaki,nyama na kuku anapika mkenya mmoja hivi,na kwengine wanapika wabongo, bei chee tu 20-30hkd.
 
sijui kwa nini mwandiko wako Sky Eclat huwa naufananisha na wa Kongosho...

By the way hu wa hakuna cuisine tamu kama ya ki chinese, ki indonesia na indian...

Nani asiyependa kula "空报既定kong bao jiding", "tie ban nu rou 铁板怒肉", "da pan ji 大盘及", "hong shao yu kuai " 红烧愉快", "nu dan chao dan 怒但超凡" na kadhalika
Kongosho

Nimemiss vitiko vyake ingawa sometimes namfamananisha na mtu fulani humu ndani...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hauko peke yako SE. Mie kwenye restaurant zao kuna harufu fulani hivi siipendi hata kidogo. Na hata nikienda basi huwa ni kwa ajili ya company tu na naishia kugusa gusa tu kusema kweli. Ukiacha hiyo harufu nahofia pia kulishwa nyama ya mbwa.
Wachina ukikaa vibaya unalishwa.vitu vya ajabu....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! Mie nakumbuka jinsi nilivyozugika. Kwanza nilijua ni KE, kisha kuna wakati akang'ang'ana humu kwamba yeye si KE ni ME nikaamini kama ni ME. Baadaye tena akasema yeye ni KE. Nadhani nimemuhisi huyo unayemfananisha naye.

Kongosho

Nimemiss vitiko vyake ingawa sometimes namfamananisha na mtu fulani humu ndani...
 
Vyakula vya wachina ni hovyo kabisa, binafsi vimenishinda.

Wao spice ni curry tu hawajui spicy zingine. Vyakula na harufu za ajabu ajabu
 
Katika kusafir kwangu Watu wanaongoza kupika chakula kitamu ni wathailand wakifuatiwa na wachina. Aisee nyie hamjajua tu jins ya kuweka oda hao Watu waache hivyo hivyo
 
Ntakua mtu wa mwisho kuacha kula misosi ya kiswahili

3b1c889bf5b322daf02ef73e41bd6111.jpg

11c171537c0fc0a6514b6f523b1a1d21.jpg

8b1816da9c0bf44c5b040700b745fb51.jpg
Mkuu unakula hichi kitu halafu unashiba kabisaa!!!

Mbona kama ni kidogo hiv??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anisamehe,huyo

Katika kusafir kwangu Watu wanaongoza kupika chakula kitamu ni wathailand wakifuatiwa na wachina. Aisee nyie hamjajua tu jins ya kuweka oda hao Watu waache hivyo hivyo
Du,umenikumbusha msosi wa Land Mark hotel,nimekaa pale wiki 3,sijawahi ona chakula kitamu kama kile



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikula mara ya kwanza nyoka aina ya ladder kwa wachina. Thanks alikuwa ni wa kuokwa! Ile mirojo rojo au supu ckujaribu kabisa na huyo nyoka alimchagua rafiki angu. Nilijizuia nisitapike na kweli I made it!

Jichanganye ule ile michuzi chuzi yao sasa, utashangaa unainua kwa kijiko mguu na utumbo wa chura! Hapo hata kama ni shujaa lazima utapike!

Mateso makubwa ya wageni huko kwa wachina, ni msosi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki niliyowapata nimeweza kumudu kula vyakula vya nchi wanazotoka.

Kitanda changu ninahakikisha ni kisafi mahali ninapoweza kupata usingizi mzuri kwani hii ni starehe unayopata bila malipo.

Katika vyakula nimejaribu kula Chinese nimeshindwa kabisa, siku ya kwanza nilikuwa na wenzangu safarini, group lote waliamua kwenda Chinese restarant, niliingia chakula chote nilichokula nilirudisha change pale, ilibidi niweke tissue mdomoni nikikimbila bafuni. Mara ya pili binamu yangu alinipeleka buffet ya wa-China, nilishindwa kumwambia hiki hakipandi, tumefika nilijikaza, tumerudi nyumbani yaliyonitokea sina haja ya kusema mengi.

Hivi ni mimi tu au kuna ambao chakula cha wa-China hakipandi?
Ulikula nini? Kenge? Mbwa? Nyoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa china niliingia kwenye moja ya "hot soup". Niliendesha wiki nzima dadeq... Vile vyakula havifai kabisa

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Inabd uwe selective sanaa...japo kuna vitu huwezi kosa mfano wali wana aina za kutosha..kwny nyama beef,chicken... Vipo common vichache... Majina yakishabadilika tu mi huwa siwezi..nakula nnachokitambua tu
 
Mimi pia, waniniita mshamba, poa tu, yaani hakipandi kabisa pamoja na sifa kwamba vyakula vyao viko "healthy" zaidi ya vyetu au kizungu..
 
Haya na sie tulioenda kondoa tukala ugali mlenda safi uliopikwa na mtoto model easy to Cary, chotara wa kirangi tuchangie mada. ..[emoji23][emoji23][emoji23]

driller⛏⚒
Afadhali wewe umenifumbua mdomo, hapa kwetu kuna mama mmoja anapika vizuri sana ugali pweza, ugali nyama, wali wa nazi kwa samaki utapenda...[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom