Mkuu ungekwenda tu kwenye migawahawa ya kihindi au ya waarabu,ungekutana na vyakula vifananavyo na vya home,ingawa kwenye pilipili huwa wanafanya sifa.Nimejaribu mavyakula mengi, lakini ya kichina nimekoma!!
Sitasahau mateso nliyoyapata Hong Kong...
Hahahaa hapo kwa red LOL...Mkuu ungekwenda tu kwenye migawahawa ya kihindi au ya waarabu,ungekutana na vyakula vifananavyo na vya home,ingawa kwenye pilipili huwa wanafanya sifa.
Next time ukienda tena pitia pale chunking mansion,kuna chakula cha nyumbani,wali samaki,nyama na kuku anapika mkenya mmoja hivi,na kwengine wanapika wabongo, bei chee tu 20-30hkd.Hahahaa hapo kwa red LOL...
Kuna kitaa walikuwa wanapika vyakula vya kiafrika... hiyo bei yake sasa??
Basi mi nikalazimika kujiokoa kwa mikate tu... maana hakukuwa na namna tena... Sema vyakula vya Ki-Thailand mwake sana. Viliniokoa kiaina
Kongoshosijui kwa nini mwandiko wako Sky Eclat huwa naufananisha na wa Kongosho...
By the way hu wa hakuna cuisine tamu kama ya ki chinese, ki indonesia na indian...
Nani asiyependa kula "空报既定kong bao jiding", "tie ban nu rou 铁板怒肉", "da pan ji 大盘及", "hong shao yu kuai " 红烧愉快", "nu dan chao dan 怒但超凡" na kadhalika
Wachina ukikaa vibaya unalishwa.vitu vya ajabu....Hauko peke yako SE. Mie kwenye restaurant zao kuna harufu fulani hivi siipendi hata kidogo. Na hata nikienda basi huwa ni kwa ajili ya company tu na naishia kugusa gusa tu kusema kweli. Ukiacha hiyo harufu nahofia pia kulishwa nyama ya mbwa.
Mkuu unakula hichi kitu halafu unashiba kabisaa!!!Ntakua mtu wa mwisho kuacha kula misosi ya kiswahili
Duuh Pole yake..Rafiki yangu aliishi nyumba moja na mchina, ananiambia wakati wanapika wanakuwa na bakuli ambalo wanaosha kila kitu kitakachotumika kwenye mapishi na mwisho yale maji ya kuoshea yanaongezewa kwenye mchuzi.
Du,umenikumbusha msosi wa Land Mark hotel,nimekaa pale wiki 3,sijawahi ona chakula kitamu kama kileKatika kusafir kwangu Watu wanaongoza kupika chakula kitamu ni wathailand wakifuatiwa na wachina. Aisee nyie hamjajua tu jins ya kuweka oda hao Watu waache hivyo hivyo
Ulikula nini? Kenge? Mbwa? Nyoka?Katika starehe ninazopenda hapa duniani ni kula na kulala, huwa ninapenda kujifunza kupika vyakula tofauti, ninapenda kujaribu kula vyakula tofauti na vile nilivyozoea. Katika marafiki niliyowapata nimeweza kumudu kula vyakula vya nchi wanazotoka.
Kitanda changu ninahakikisha ni kisafi mahali ninapoweza kupata usingizi mzuri kwani hii ni starehe unayopata bila malipo.
Katika vyakula nimejaribu kula Chinese nimeshindwa kabisa, siku ya kwanza nilikuwa na wenzangu safarini, group lote waliamua kwenda Chinese restarant, niliingia chakula chote nilichokula nilirudisha change pale, ilibidi niweke tissue mdomoni nikikimbila bafuni. Mara ya pili binamu yangu alinipeleka buffet ya wa-China, nilishindwa kumwambia hiki hakipandi, tumefika nilijikaza, tumerudi nyumbani yaliyonitokea sina haja ya kusema mengi.
Hivi ni mimi tu au kuna ambao chakula cha wa-China hakipandi?
Afadhali wewe umenifumbua mdomo, hapa kwetu kuna mama mmoja anapika vizuri sana ugali pweza, ugali nyama, wali wa nazi kwa samaki utapenda...[emoji23] [emoji23]Haya na sie tulioenda kondoa tukala ugali mlenda safi uliopikwa na mtoto model easy to Cary, chotara wa kirangi tuchangie mada. ..[emoji23][emoji23][emoji23]
driller⛏⚒