Chinese food zinanishinda kula, kuna wengine wenye tatizo hili?

Haya na sie tulioenda kondoa tukala ugali mlenda safi uliopikwa na mtoto model easy to Cary, chotara wa kirangi tuchangie mada. ..[emoji23][emoji23][emoji23]

driller⛏⚒
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nipo Changchun huku
Nina zaid ya wiki sasa nakula wali kuku
Vyakula vigumu kuzoea, nitakuwa huku miaka 3
Nimeagiza dagaa home,na unga wa sembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisafiri kwenda nchi za watu kama ni ziara ya zaidi ya wiki mbili ninabeba unga, maharage, mchele. Usijaribu haya kama unakwenda Australia na Newzeland.
Kama ni wiki moja au mbili nisipozoea chakula ninakula mkate, chai pamoja na matunda.
 
Reactions: Cyb
Nimetoka kukata kuchumbari hapa,,,


Nafata dagaa(Fillet ya Uswazi)


Haa haaaaa
 
Duuu dada kati ya vyakula vinavyonitoa udenda ni chinese na Japanese foods... Nayapenda mno mapishi yao.... Japo kiherehere changu kilinifanya nilishwe vitu vya ajabu kama mbwa na nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…