Chinese govt dismisses Fake report of Mombasa Port being collateral

Kwa hivyo sasa hivi bandari ya Dar inaikimbiza bandari ya Mombasa? Acha mzaha. Endeleeni kusherehekea bandari ya Mombasa kuchukuliwa na mchina. Meanwhile wakenya hawana huo muda wa kufatilia fatililia kinachoendelea Tz.
Ujue unaposema wakenya hawafuatilii habari za Tz uwe unafikiria kidogo unaongelea wakenya gani au ukisema wa Tz wana fuatilia habari za Kenya pia ufikirie ni Mtz gani. Mtu ameamka hajui mchana atakula nini unazani anaeza fikiria habari za Msa port!! Najua wakenya walio elimika wanafuatilia habari za dunia nzima the same goes to Tz. Nguvu kubwa tunaweka kwenye habari ambayo ina weza kutugusa direct/indirect ndiyo maana unaona ishu kama ya Msa port, Sri lanka port au Zambia airport tunaeza ichukulia kwa uzito. Hii hoja ya wakenya kutofuatilia habari siyo sifa ni ujinga, mimi nina wakenya wako well informed kuhusu E.A issues na world at large nashangaa wakenya wa humu mnajisifia ujinga! I kno you can do better Pingli, au Mwasiti ame hack acnt yako.
 
Ujue unaposema wakenya hawafuatilii habari za Tz uwe unafikiria kidogo unaongelea wakenya gani au ukisema wa Tz wana fuatilia habari za Kenya pia ufikirie ni Mtz gani. Mtu ameamka hajui mchana atakula nini unazani anaeza fikiria habari za Msa port!! Najua wakenya walio elimika wanafuatilia habari za dunia nzima the same goes to Tz. Nguvu kubwa tunaweka kwenye habari ambayo ina weza kutugusa direct/indirect ndiyo maana unaona ishu kama ya Msa port, Sri lanka port au Zambia airport tunaeza ichukulia kwa uzito. Hii hoja ya wakenya kutofuatilia habari siyo sifa ni ujinga, mimi nina wakenya wako well informed kuhusu wakenya wa humu mnajisifia ujinga! I kno you can do better Pingli, au Mwasiti ame hack acnt yako.
Fupisha taarifa yako. Wakenya hawafatilii habari za Tz. Sio kwenye vituo vya Tv, radio wala kwenye magazeti. Hata hapa Jf wakenya utawapata tu kwenye jukwaa hili. Nyinyi kawaida yenu ni kutuandama tu kama mkia. Ikikuuma sana meza Panadol. 😎
 
Ok
 
Sikupi kwa sababu madai yalivyoanza hakuna kati yenu aliyekuja kusema kua bandari haikua dhamana. Hata nyinyi mliamini.
Sasa mmekaa mmehofia kuonekana wehu mmeomba master wenu akanushe ili awastiri kidogo.
Haya sawa, bandari siyo dhamana na hakuna asset iliyowekwa dhamana kwamba China anatoa hizo pesa kwa malikauli? Au hajali kwakua anazitoa kwa subordnate wake?
Nipe time frame ya dismissal of those allegations.
 
So you actually think that Kenyans are aware or that they even give a rat's ass about what Tanzanians think or gossip about Kenya? Wake up!
Hahaha huku unabana pua Tanzania gossip about Kenya Kweli!!!? Kweli kuna mTanzania anakuja kupoteza muda kupiga umbea juu ya Kenya?
 
Sikupi kwa sababu madai yalivyoanza hakuna kati yenu aliyekuja kusema kua bandari haikua dhamana. Hata nyinyi mliamini.
Sasa mmekaa mmehofia kuonekana wehu mmeomba master wenu akanushe ili awastiri kidogo.
Haya sawa, bandari siyo dhamana na hakuna asset iliyowekwa dhamana kwamba China anatoa hizo pesa kwa malikauli? Au hajali kwakua anazitoa kwa subordnate wake?
Hujanijibu swali langu umeanza kusuasua na kunipa hadithi nyingi za MTU ambaye ameshindwa ila hakubali.
 
Hahaha huku unabana pua Tanzania gossip about Kenya Kweli!!!? Kweli kuna mTanzania anakuja kupoteza muda kupiga umbea juu ya Kenya?
Mlijadili habari za bandari ya Mombasa, kwamba imeshanyakuliwa na mchina, wala hamkujali kuhusu uhalisia wa habari hizo. Huo ndio unaitwa umbea.
 
Hujanijibu swali langu umeanza kusuasua na kunipa hadithi nyingi za MTU ambaye ameshindwa ila hakubali.
Swali lako

"Nipe time frame"

Jibu langu, mwanzo kabisa.

"Sikupi"

Narudia tena. Usijifanye chizi ili nijue haunielewi.
 
Mlijadili habari za bandari ya Mombasa, kwamba imeshanyakuliwa na mchina, wala hamkujali kuhusu uhalisia wa habari hizo. Huo ndio unaitwa umbea.
Sasa nyinyi mliokua mnaujua uhalisia mbona mmesubiri Master wenu akanushe?

Kinachonishinda kukaa akilini eti hakuna collateral. Uhusiano wenu ni Master and slave relationship.
 
Ujue unaposema wakenya hawafuatilii habari za Tz uwe unafikiria kidogo unaongelea wakenya gani au ukisema wa Tz wana fuatilia habari za Kenya pia ufikirie ni Mtz gani. Mtu ameamka hajui mchana atakula nini unazani anaeza fikiria habari za Msa port!! Najua wakenya walio elimika wanafuatilia habari za dunia nzima the same goes to Tz. Nguvu kubwa tunaweka kwenye habari ambayo ina weza kutugusa direct/indirect ndiyo maana unaona ishu kama ya Msa port, Sri lanka port au Zambia airport tunaeza ichukulia kwa uzito. Hii hoja ya wakenya kutofuatilia habari siyo sifa ni ujinga, mimi nina wakenya wako well informed kuhusu E.A issues na world at large nashangaa wakenya wa humu mnajisifia ujinga! I kno you can do better Pingli, au Mwasiti ame hack acnt yako.
Wewe hujui habari za Nchi yako hata kidogo, wewe huamkia hapa Kenyan News and Politics kila siku usiku na mchana. Mimi hupitia Jukwaa lenu la siasa kila siku na kuangalia kinacho endelea ila sizungumzi mle. Wewe on the other hand sijakuona ukichangia hizi pumba zako humo sijui ni uwoga ama kwa kujua unachosema upande huu wetu ni porojo tu na hazitokubalika by your enlightened Citizens. Have a nice day.
 
Sasa nyinyi mliokua mnaujua uhalisia mbona mmesubiri Master wenu akanushe?

Kinachonishinda kukaa akilini eti hakuna collateral. Uhusiano wenu ni Master and slave relationship.
Usijali, maumivu yatapungua tu.
 
Kwani nikianza kulipa pesa yako kimya kimya si naweza kuomba utangaze Kwa umma kua hutaninyang'anya Mali tena?
 
Back
Top Bottom