Ujue unaposema wakenya hawafuatilii habari za Tz uwe unafikiria kidogo unaongelea wakenya gani au ukisema wa Tz wana fuatilia habari za Kenya pia ufikirie ni Mtz gani. Mtu ameamka hajui mchana atakula nini unazani anaeza fikiria habari za Msa port!! Najua wakenya walio elimika wanafuatilia habari za dunia nzima the same goes to Tz. Nguvu kubwa tunaweka kwenye habari ambayo ina weza kutugusa direct/indirect ndiyo maana unaona ishu kama ya Msa port, Sri lanka port au Zambia airport tunaeza ichukulia kwa uzito. Hii hoja ya wakenya kutofuatilia habari siyo sifa ni ujinga, mimi nina wakenya wako well informed kuhusu E.A issues na world at large nashangaa wakenya wa humu mnajisifia ujinga! I kno you can do better Pingli, au Mwasiti ame hack acnt yako.