Chinese govt dismisses Fake report of Mombasa Port being collateral

Hueleweki. Unaongea kuhusu nini? Naona hizi habari zimekuvuruga akili. Breathe in, breath out. All is well.
Hii defense mechanism ya Kenyans kujitia machizi ili mjifanye hamuelewi vitu ni ya aina yake.
 
Mimi naongelea airport inayotaka kuchukuliwa na wachina hao hao.

KK Airport. Zambia.
Wacha kijijifanya chizi. Mambo ya Zambia peleka mbali ama fungua nyuzi yake.
I’ve discovered hawa Tz argument wakishindwa wana anza kushift goal post na different unrelated topics.
 
Hii defense mechanism ya Kenyans kujitia machizi ili mjifanye hamuelewi vitu ni ya aina yake.
Sasa kama hueleweki unataka tufanyeje? Au ndio ulikuwa unatafuta mwanya wa kutumia jina 'defence mechanism'? [emoji1]
 
Wacha kijijifanya chizi. Mambo ya Zambia peleka mbali ama fungua nyuzi yake.
I’ve discovered hawa Tz argument wakishindwa wana anza kushift goal post na different unrelated topics.
Hawa jamaa ni very predictable. Kidogo kidogo utasikia ameanza kukutajia za Miguna Miguna. Hahaa! [emoji23]
 
Wacha kijijifanya chizi. Mambo ya Zambia peleka mbali ama fungua nyuzi yake.
I’ve discovered hawa Tz argument wakishindwa wana anza kushift goal post na different unrelated topics.
Those aren't unrelated topics brother. Y'all gona lose the collateral the difference is you gon lose a seaport while the other one is gon lose the airport.
 
Sasa kama hueleweki unataka tufanyeje? Au ndio ulikuwa unatafuta mwanya wa kutumia jina 'defence mechanism'? [emoji1]
Umechukua muda mkubwa kuja na hii komenti. Uko salama lakini?
 
Ulikuwa umetulia tu unaingoja hiyo comment? Uko idle sana. Sio kila dakika huwa tupo humu kwenye mitandao, kuna mengine mengi tu, ya maana zaidi ambayo
wengine wetu huwa tunajishughulisha nayo.
 
Mimi situmii WiFi wala kompyuta ya ofisi. Notifications naziona muda wowote.
 
Habari iliandikwa na wakenya wenzenu, imeletwa kwa forum, mnaanza laumu wabongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Auditor general alisema hatambui hiyo report on the same day the news article came out lakini bado nyi wabongo makendelea kuenjoy kujadili fake news!
Definition ya idle minds. Mlikuwa mfefika kiwango ya kusema bandari imechukuliwa!
 
Sasa wewe na ndevu zako za chini ulitegemea AG aseme ni kweli i karibu kwenda kwa wachina???
 
Ulikuwa umetulia tu unaingoja hiyo comment? Uko idle sana. Sio kila dakika huwa tupo humu kwenye mitandao, kuna mengine mengi tu, ya maana zaidi ambayo
wengine wetu huwa tunajishughulisha nayo.

Well if una kazi nyingine unafanya,then ukimaliza tu unawaza kuna jamii forums kutokea tz,halafu useme hufikirii habari za tz,huo nao ni unafiki.

At all hakuna ushahidi wa madai yako kwamba hakuna mkey anayefuatilia ya tz,ila ushahidi kwamba mnafuatilia upo.
 
Sasa wewe na ndevu zako za chini ulitegemea AG aseme ni kweli i karibu kwenda kwa wachina???
Naona wewe huna fahamu. Auditor general has been the biggest critic of the govt, from Eurobond to devolution funds he has blown the whistle & that’s his job.
So soma kidogo kabla ya kuja hapa kama fala.
If this was the case this guy would not hide anything, ebu soma kidogo on what he’s audited before including office of the president funds.
He is actually the most impartial guy in the government.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…