Chinese govt dismisses Fake report of Mombasa Port being collateral


Ahaaa haaa haaa
KUANZIA leo sitamuamini tena CAG wa kenya. badala nitakuwa namuamini willyTrinidad.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha! [emoji38] I never saw that coming. Wewe ni kiriminoo! [emoji1]
 
Uhuru yuko kwenye runinga Live akihojiwa na wanahabari kadhaa kuhusu haya mabo ya Port kuwa chaka ya loan za Kenya kutoka kwa Mchina. Anajibu maswali kwa utaratibu na ufasaha hadi kimeeleweka, je Magufuli angeweza hivi ama angeweweseka na kutishia kuwafunga jela wanahabari?
 
Ahaaa haaa haaa

ya kujificha ni tamu sana.
Teh teh teh tihiii
Ingia kwenye Runinga yako, chagua Stesheni yako uipendayo ya Kenya na utazame Uhuru Kenyatta akihojiwa na wanahabari Live.
 
Nyie wakenya subirine tu sio mda wachina watangaza ndoa na nyinyi!!
Mchina hata den la 1bln atakaa na mombasa port even 10 years ,atakwambia bado pesa haijarudi, port inajiendesha kwa hasara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wakenya subirine tu sio mda wachina watangaza ndoa na nyinyi!!
Mchina hata den la 1bln atakaa na mombasa port even 10 years ,atakwambia bado pesa haijarudi, port inajiendesha kwa hasara


Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie MNA deni lake la $2b bila kusahau mshawahi kusamehewa madeni Mara tatu au hata zaidi ila cha kunishangaza ni vipi mnalazimisha umbea uwaingie vichwani vyenu ati Bandari yetu itachikuliwa na Mchina ilhali yeye mwenyewe kakanusha hao kuputia Foreign Ministry yake?
Kama Kenya tutanyolewa na Mchina pia nyie mjitayarishe na maji mpitie wembe huo huo.
 
One thing you don't understand is that Port of Mombasa was not used as collateral.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
bro read above, under and btn the lines, your government waived the immunity against the KPA assets in case of default. in other words the assets are prone for foreclosure.
but my question is, whether that facility was a corporate finance or a project finance with an advantage of having a limited to non recourse. I'm asking dat coz the risk is not limited to the project itself.

for your quick reference.
soma hapo chini.

 
LOL πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…