Chini ya jua, hakuna mwanamke mgumu. Mwanamke anayekukubalia kirahisi ni bora kuliko anayekuzungusha


Nakubaliana na hoja hii 100%
 
Unanitaka sawa,unitaki nakula kona sina muda wa kupoteza,pesa inetese na wewe unitese,hapana aisee.

Hii principle ndio wanaume wote wanatakiwa kuwa nayo....katika kitu kinachotakiwa kisikupe sstress ni papuchi
 
Mi anayenizungusha huku hali hela yangu, yuko ok, ila yule anayekula hela yangu, siku akinipa ni hit and run.
 
Kuna wanawake ni asili yake kutoa papuchi ili mradi uwe msafi tu.mi nilishapewa number na aliyepewa number na huyo aliempa number alie nipa mimi wote tulikula tena kirahisi tu.na mimi nishawapa number zaidi ya watu wa tatu na wote wamekula sina idadi ya hao nilio wapa number waliwapa watu wangapi hizo number ila na wewe ukitaka nakupa tu number unaenda kujipigia.na ni demu mrembo kweli kweli hajafikisha hata miaka 20
 

Hao wanawake wapo, ila ni wachache sana, kwa kingereza wanaitwa nymphomaniacs buno25
 
Amini kuna wanaokataliwa na pia
 
Kumekucha..[emoji28]

Bwana na atufanyie wepesi sisi me ili tuwafahamu ke..!

Kwa maana nae alinena toka ktk ubavu wetu alimtwaa mwanamke,nae awe msaidizi wetu.
Badala yake wamekuwa wakitufungulisha nyuzi hasubui pevu namna hii..[emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nini kifanyike kuokoa jahazi ?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…