Chini ya masaa 72 baada ya kutoka Urusi na Japan, Uhuru Kenyatta aondoka tena Kenya

Kipindi cha lala salama hicho, dili lazima zifanyike.
KWANI TANGANYIKA NA KENYA IPI ILIYOENDELEA
Mchamba wima.
 
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.
 
Hahaaaa!!wadaisha akina joto ni wa kutoka TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wewe ni mlipa ushuru Kenya?
Kwa kweli Magufuli aliwapa kazi bozo ovyo sana. You really don't sound like a qualified intelligence officer. Hapa kenya guard wa G4S anakushinda na akili!
 
Na bado kisha..mkinunua ndege, tunamsafirisha..ngoma draw[emoji1787][emoji1787]
Uhuru atazunguka dunia mzima lakini hawezi fika Kisumu(Jaluo Nation) bila Kuwepo Raila, watamchinja kama kuku na wagawane nyama yake.
 
Sikujua kumbe ikulu akiondoka president wengine hawatakiwi kushughulikia mengine yaende
 
Hili jina la mchamba wima la mshkaji wng hili yn umenchekesha sn.....[emoji23][emoji23][emoji23] mchamba wima kurara
Kipindi cha lala salama hicho, dili lazima zifanyike.
Mchamba wima.
 
Anahangaikia mikopo nchi ishafilisika ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…