Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

Hunikuti nikishabikia huu ulozi hata siku moja. Waite Wanga wenzio mjadili matunguli.
 
Ondoa pumba zako za kishirikina hapa. Kabla yake simba ilikuwa wapi. Yaani kufungwa tu mechi moja na yanga msimu huu povu kibao. Mbona yanga ilifungwa na Vipers na hatukuona wakitoa povu kama lako. Hutaki kuwa shabiki mstaarabu sepa bwana.
 
Mpira wa kisasa unachezwa uwanjani na sio kwenye vijiwe vya tunguri. Anzisha team yako kisha ibebe vikombe vyote Tanzania, cuf na club world cup.
CUF???? ya lipumba au?
 
Mobutu alipeleka wachawi 70 kombe LA dunia....uliza kilichowapata.

Dogo mpira ni sayansi sio uchawi!.
 
Sasa kama streka ndo mzungu na BOCCO si bora wangemwacha kagere kuliko hivi vituko
 
Simba mnatia aibu sana kumbukeni asiyekubali kushindwa si mshindani! Nyie Makolo mkishinda derby ni uwezo wa uwanjani Yanga ikiwapasua au kubeba makombe sababu ni nje ya uwanja, hizo ni akili mbovu na muendelee kuamini hivyo hivyo tuchukue makombe na kuwapasua ten years!!
 
Wivu tu na chuki kwa huyo mama unawasumbua.Mambo ya kushinda au kutokushinda,kuchukua bikombe au kutokuchukua ni hali ya mchezo kwasababu simba sio timu pekee nchini.Ata hivyo huyo mama haongozi mwenyewe hapo simba usitake kuniambia gskuna vikao wanavyofanya.Mambo ya nje ya uwanja hizo mbwembwe niza hapa hapa kwa mkapa hazitufikishi popote.
 
Simba wanawafundisha Yanga kuwa mpira bila uchawi unawezekana. Kuna siku wataelewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…