Tetesi: Chini ya zulia waziri wa sukari alalamika kwa watu wa karibu waziri wa zamani wa misitu mapori na wanyama ndio mchawi wake!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
 
kwan ni kigwangala au mpina mkuu
Kigwangwala ndiye anampa Mpina Nondo za kumsulubu Bashe. Anyway wote ni mafisi tu ngoja watafunane
 
Attachments

  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 4
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Kama ni hivyo HK ni intermediate tu yupo mkuu zaidi ya Hk
 
Home made vs Imported...Referee last time kwenye Mechi ya Bandari, Home Team ilibwagwa ndani ya normal time, this time around Home Team wamesawazishiwa dakika za nyongeza, game inaenda Extra Time, na Home Team ina warning cards za kutosha tuu... Advantage kwa Team Ngeni...
 
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Wananzengo wanaoneshana umwamba.

Kunani Tabora?
 
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Yote majizi tu. Hakuna cha Magogoni, hakuna cha waziri wa sukari wala hakuna cha waziri wa wanyama.
 
Back
Top Bottom