Au siyo ubinadamu uko wapi!Acha watafunane maana wote ni green lable
Hawa wawili wana bifu kali tangu zamaniHizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Hivyo ushauri watoke hadharani mtu mbili kavu kavu!Hawa wawili wana bifu kali tangu zamani
Mmoja anatoka Mogadishu,mwingine ni wa BujumburaWote ni kutoka TABORA kumbuka hilo
Hivyo ana uraia pacha!Mmoja anatoka Mogadishu
Hahahaha 😂 😂 😂Mmoja anatoka Mogadishu
Alafu jirani yake kabisa jimboni kama ni yeye lakiniHuyo waziri ndio yule wa pikipiki za mkopo?
Wanasema lisemwalo lipo.....Adui yako muombe njaa!Alafu jirani yake kabisa jimboni kama ni yeye lakini
Eeeh hauko mbali....!Tunabaki kutazama, tuone mwisho wake.
kama zuchu ni sawa na iwe hivyo!Waziri wa sukari si Zuchu au??
Sio ya kufurahisha mkuu hata kidogo!Hahahaha 😂 😂 😂
Ugomvi wao mpaka jimbo likagawanywa.
Kigangwalla?Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi mbunge kumsagia kunguni hili sakata limeshika kasi na limefika magogoni tusikilize litakalojiri!
Lisemwalo lipo!Kigangwalla?
Matumizi mabaya sana ya rasilimali za nchiUgomvi wao mpaka jimbo likagawanywa.