Chips Zege ya Clouds

Chips Zege ya Clouds

Mr. JF

Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
79
Reaction score
107
Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula vinavyolowekwa kwenye mafuta kama chips etc) lakini hawa jamaa wameanzisha kabisa kampeni ya ku promote Chips Zege.

Je, kuna lengo gani nyuma ya kampeni zao? Kulikua na umuhimu gani wa ku promote Chips zege tena kwa vijana wa Dar es Salaam?

My take: Hawa jamaa badala ya ku promote lifestyle na vyakula vinavyotajwa kuwa na visababishi vya NCD, basi wangetumia muda huo ku promote ulaji wa balanced diets, matunda kwa wingi, white meat, mboga mboga etc.
 
Ishakuwa hulka ya nchi kama jambo unatengeneza pesa, usijali upande wa mbili. Watu wanaimba matusi, inayoathirika jamii, watu wanauziana dawa za nguvu za kiume feki, jamii inaumia, wengine hadi ARV bandia, jamii inaangamia, na hawa wameona wasiwe nyuma.

Kuna haja ya jamii kuelimishwa faida na hasara ya kila wanacholetewa machoni na masikioni.
 
Madume mazima mimi niliona ile kitu siku ya uzinduzi nilishangaa sana kweli Nchi ina vijana wa ajabu sana jitu kama Adam kweli na vichips wapi na wapi kweli wanaume wa Dar mmetisha aisee
Wenyewe wana msemo wao wanasema "ndani ya jiji la Dar ndivyo tunavyoishi..... Hao wa kuja wanatushangaa jinsi tulivyo wabishi!"
 
achane ushamba wa tanzania chips inaliwa ulimwenguni kote haina mwanaume au mwanamke duniani kote kuna KFC branches za kimarekani. na ulaya ndio wanaoongoza kwa kula chips
 
Chips za KFC ni za 'kuoka' mlamu, hawatumii mafuta.
 
Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula vinavyolowekwa kwenye mafuta kama chips etc) lakini hawa jamaa wameanzisha kabisa kampeni ya ku promote Chips Zege.

Je, kuna lengo gani nyuma ya kampeni zao? Kulikua na umuhimu gani wa ku promote Chips zege tena kwa vijana wa Dar es Salaam?

My take: Hawa jamaa badala ya ku promote lifestyle na vyakula vinavyotajwa kuwa na visababishi vya NCD, basi wangetumia muda huo ku promote ulaji wa balanced diets, matunda kwa wingi, white meat, mboga mboga etc.
Kuna kijiwe pale nyuma ya ofisi yao ndio wanakipigia promo maana huwa kinawabeba mno kwa kujaziwa chipsi na sometimes wanakopa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20220622_210327.jpg
 
Back
Top Bottom