Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani.
Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina kilo calories(Kcal) 350. Wakati grams 100 za ugali zina kilocalories 210.
Lakini hapa pia inategemea ni chips nini au ugali na mboga gani. Ugali maharage una nguvu sana. Maana 100g za maharage zina kilocalories 340. Ukipiga ugali maharage unakuwa poa, lakini ukipiga ugali mlenda ni sawa tu na mtu ambaye hajala.