CHISAYE: Mwenyekiti BAVICHA Taifa ajae ni Wakili Mahinyila kwa sababu anamuunga mkono pia Mwenyekiti wa Taifa ajae ambae ni Tundu Lissu

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
IMG-20241230-WA0249(1).jpg

JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA?

MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA.

1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo chini yake toka mwaka 2021. Amekuwa mstari wa mbele miongoni mwa Mawakili wanaofanya kazi za Chama kwa kuwakilisha wanachama na viongozi mbalimbali wa Chadema. Mfano: Hivi juzi tuu, amewasaidia kushinda kesi Wanachama wa Chadema Ifakara/Kilombero; Kesi ya Mbwana Kombo kule Tanga; Deusdedith Soka mara zote alipokamatwa Mahinyila alikuwepo kuhakikisha anampatia msaada wa kisheria; Mahinyila pia ameshiriki kesi ya wabunge haramu (Covid 19). Vilevile alishiriki katika Kesi maarufu ya Ugaidi ya Mwenyekiti Mbowe n.k.

2. Deogratius Mahinyila ni Mzaliwa wa Kijiji cha Berege, Wilaya ya Mpwapwa na Mkoa wa Dodoma ambako historia yake ya kisiasa na kitaaluma inaanzia katika Kijiji hicho. Maisha yake yote ameyatanabaisha na kuonesha mapenzi yake wazi na Kijiji chake alichotoka. Nakumbuka tukiwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam alikuwa anajiita Kabwela kutoka Berege. Sijui kwanini siku hizi siisikii sana hiyo A.K.A yake: nitamuuliza kwanini ameacha kuitumia 😂. Ameshiriki kuleta vuguvugu na hamasa ya siasa za Upinzani kijijini kwao Berege.

3. Maisha yake ya shule kwa waliosoma nae wanafahamu: Huwezi kuyatenganisha na Ujasiri na harakati. Akiwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Merriwa iliyopo Dodoma mjini 2013/2014 aliwahi kufukuzwa shule kwa kosa la kuhamaisha mgomo na kupinga amri za walimu wake ambazo aliamini ni kinyume na maslahi ya wanafunzi. Pia kipindi chetu tukiwa wanafunzi wa UDSM Mahinyila alijipambanua kutetea maslahi ya wanafunzi kwa gharama yoyote hata kama ingehatarisha hatma yake kimasomo. Alikuwa anaongoza kwa kupewa barua za ONYO kutoka Ofisi ya Mshauri wa Wanafunzi (DEAN) na Makamu Mkuu wa Chuo - Utawala akionywa kutishia amani ya Chuo. Barua ninazozikumbuka mimi ni zaidi ya Barua nne alizowahi kupatiwa ikiwemo ile barua maarufu ya ONYO LA NYONGEZA mara baada ya kuwa ameshapatiwa barua ya ONYO LA MWISHO. Mara zote makosa yake yalikuwa ni kufanya siasa chuoni na kosa la kutishia uvunjifu wa amani ya chuo. Hayo yalikuwa ni makosa ya kuwapunguza kasi vijana wote wanaharakati chuoni.

4. Mahinyila ni Mwanamichezo aliyesomeshwa na kipaji chake cha kucheza mpira wa Miguu katika Shule ya Sekondari Merriwa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Shule hiyo ni ya michezo na ilikuwa na Academy ya mpira wa miguu ambapo wachezaji wote waliokuwa ndani ya academy hiyo walisoma bure. Mahinyila ni winga mzuri sana ambae alikuwa akicheza namba 7 na 11 na mara zingine alikuwa akicheza namba 8 na 10. Baadhi ya wachezaji aliocheza nao maeneo mbalimbali wapo ligi kuu ya Tanzania ambao ni Yassin Mustapha, Alon Kalambo, Omary Kindamba n.k. Kwa kifupi Deogratias Mahinyila ni miongoni mwa watu wenye wingi wa vipaji (multi talented).

5. Ameshika nafasi mbalimbali za Uongozi toka akiwa Shule za msingi na sekondari, chuo kikuu na hata sasa. Kwa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) amekuwa ni Spika wa Bunge la Wanafunzi (DARUSO) 2017/2018. Bunge hilo lilikuwa maarufu na lilijulikana kama BUNGE MAKINI NA LA VIWANGO, bunge lililosimamia maslahi ya wanafunzi wote. Lilisifika kama Bunge lililoongozwa na Spika mwenye misimamo mikali na ni Bunge ambalo lilijitahidi kutopokea maelekezo kutoka Utawala wa Chuo. Nakumbuka bunge hilo lilifanya jitihada ya kumuondoa madarakani raisi wa chuo aliyekua kibaraka wa CCM kabla Utawala wa chuo kuingilia kumlinda raisi huyo. Pia, licha ya kuwa Kijana na mwanasiasa aliyependwa na wanafunzi wengi wa UDSM katika kipindi cha mwaka 2015-2018 pia mara zote alikuwa na upendo sana na wanafunzi na viongozi wenzake. Kisiasa kwa yeyote aliyehitaji msaada wake kama ana uwezo aliwasaidia kwa sharti moja la kuwa upande wa HAKI tu.

6. Mwaka 2016 alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa CHASO Chuo Kikuu cha Dar es salaam na mimi nikiwa Katibu wa CHASO na Mwenyekiti wetu akiwa ni TITO DAUDI LYANGA. Alikuwa ni MwanaCHADEMA mtiifu na mwenye mapenzi na Chama hiki. Hata tulipokubaliana ajihuzulu uongozi CHASO ili tuanze kumuandaa kama Mgombea wa Uraisi wa DARUSO alikubali na safari hiyo ikaanza. Mwaka 2018/2019 alichukua fomu ya kugombea Uraisi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam huku akiungwa mkono na umma wote wa wanafunzi. Mfumo wa Uongozi wa chuo kwa kuhofia kukubalika kwake walifanya hesabu zao na kubaini kwamba Mahinyila angefika hatua ya kupigiwa kura na wanafunzi, angeshinda Uchaguzi huo. Kwa kuwa alikuwa mwiba kwa CCM na uongozi wa chuo, Jina lake lilienguliwa kwa hila ili asipate haki ya kugombea nafasi hiyo ya Rais wa Daruso. Uma wa wanafunzi UDSM ulipigwa ganzi baada ya jina la Mahinyila kuenguliwa, watu wakakata tamaa ya kupiga kura. Katika uchaguzi ule, watu wa CCM na Uongozi wa chuo, waliamini wamemaliza mchezo na kwamba mgombea wao waliyemtaka angeshinda kirahisi. Hata hivyo, kati ya wagombea watatu waliopitishwa kupigiwa kura, mmoja ambaye aliaminika kuwa asingekua tishio, alikua ni mpenda haki na mwanaChadema ambaye watawala hawakumfahamu vizuri. Hapo Siku chache kabla ya upigaji kura, Mahinyila alijitokeza kumuunga mokono mgombea huyo na kutumia ushawishi wake binafsi, kumsaidia kampeni. HAROUN STANLEY alishinda uchaguzi ule na kuwaacha CCM katika hali ya butwaa... Tukapata raisi anayetokana na CHASO.

7. Mwaka 2020, Mahinyila alijikuta akisota Magereza kama vile Gereza Kuu Isanga, Dodoma na Gereza la Wilaya ya Mpwapwa. Hii ilitokana na kushitakiwa kwa Makosa ya Uhujumu Uchumi mara baada ya fujo zilizotokea Kata ya Berege ambako yeye alikuwa ni mgombea wa Udiwani wa Kata hiyo ya Berege kupitia Chadema, ambako aliwalaza CCM na viatu, wakaiba uchaguzi katika kata hiyo. Katika kuhalalisha wizi wa uchaguzi huo, kabla hajakamatwa, Mahinyila alishakuwa ameongoza katika vituo 10 kati ya vituo 15 vya kupigia kura jambo ambalo lililazimisha ashikiliwe polisi ili michakato ya kumtangaza mgombea wa CCM ufanyike kwa urahisi.

8. Mwaka 2020, alifanya Mitihani yake ya Law School of Tanzania (Chuo cha Uwakili) akitokea Gerezani alikokuwa akishishikiliwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2020. Aliachiwa siku tatu kabla ya mitihani ya mwisho ya Uwakili na alifanikiwa kufaulu mitihani hiyo ambayo kati ya wanafunzi zaidi ya 700 kwa mwaka huo waliofaulu hawakuwa wakizidi 60 tu.

9. Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2024 alichukua fomu ya Kugombea Uenyekiti wa Kijijini kwao, Kijiji cha Berege. Kwa kuwa walifahamu uwezo wake na namna anavyokubalika Berege, awamu hii, wasimamizi wa Uchaguzi walimuengua mapema tuu kwa sababu za Uongo. Tumeshuhudia namna alivyoweza kuhamasisha wanakijiji wenzake kupigania haki zao na yeye ameonesha mfano kwa Vijana wasomi licha ya kiwango chake cha Elimu na taaluma yake ya Uwakili amethubutu kwenda kufanya siasa za kugombea Uenyekiti wa Kijiji na kuleta chachu ya maendeleo katika ardhi yake aliyozaliwa.

10. Ukiachana na sasa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Dodoma. Mahinyila ni mpenda mijadala. Huwa hachoki kujenga hoja. Ni mdadisi na anapenda sana kushawishi mtu akubaliane na agenda yake bila kutumia nguvu ila kwa ushawishi wa hoja. Ni mcheshi na anapenda sana kufurahi na marafiki baada ya kazi. Anapenda burudani na ukiwa karibu nae utagundua anapenda sana utani na ana uwezo wa kufanya mambo magumu kuwa marahisi. Aidha, ilikuwa ni ngumu kumkuta Hostel amelala siku ya ijumaa jioni na popote utakapopigwa wimbo wa Mkono wa Bwana ni lazima utamuona akitikisa kichwa 🤣.

_ANGALAU hadi leo naweza kumzungumzia hivyo. Sijui nini atakifanya kuanzia kesho na kuendelea. Lakini itoshe kusema kwa haya tunayomfahamu nayo ana kila sifa ya kuwa hazina ndani ya Chama chetu na Taifa kwa ujumla. Naamini wajumbe wa Mkutano Mkuu wa BAVICHA TAIFA watampatia kura nyingi na kazi kwake baada ya Ushindi kuharibu historia yake au kuitengeneza iendelee kuwa nzuri na inayopendeza katika jicho la HAKI.

Imeandaliwa na:

KALEBI CHISAYE
(Katibu CHASO UDSM 2016/2017).
Katibu Jimbo (2024)
Manyoni Mashariki
0746764442.
 
Inaamana kila mtu wa maana ndani ya CHADEMA anamuunga mkono TUNDU LISSU?

Mfuasi wa MBOWE ni yupo?
 
Huyu namkubali, sijawahi kumsikia maria space kama akina Mwambukusa, madelekia na Jebriua. Kwa hivyo huyu dogo akiungana na Mbowe chama kitatulia. Lissu atakuwa mwenyekiti wa maria space. Au nasema uongo wadau?
 
Yuko na Lissu
 
View attachment 3189112

Chaso ya Dar si imejaa Maafisa vificho? Ambao kimsingi ni maafisa wa kijani
 
Mwaka 2020, alifanya Mitihani yake ya Law School of Tanzania (Chuo cha Uwakili) akitokea Gerezani alikokuwa akishishikiliwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2020. Aliachiwa siku tatu kabla ya mitihani ya mwisho ya Uwakili na alifanikiwa kufaulu mitihani hiyo ambayo kati ya wanafunzi zaidi ya 700 kwa mwaka huo waliofaulu hawakuwa wakizidi 60 tu.
Huyu ni Kichwa
 
Sawa
 
Huyu dogo ana element za Kina Abdul nondo...
 
Back
Top Bottom