β˜• Chitchat Meeting Point: Kituo cha Kimataifa cha kupiga soga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Leo tunazindua rasmi kijiwe chetu spesheli cha Chitchat Meeting Point.πŸ”₯

Hapa si mahali pa chai tu. Huu ni uwanja wa ndege ambapo maneno yanatua na kupaa bila visa wala pasipoti.

πŸ” Sheria za Eneo Hili:
Ukileta habari ya mtu kuwa amenunua baiskeli, akiondoka hapa atakuwa amenunua ndege.πŸ˜‚
Sisi hatuachi stori ikiwa ya kawaida. Tunatia chumvi, pilipili, ndimu, mbilimbi na ukwaju😩

Macho ya VIP:
Hapa kila mmoja wetu ana macho yenye uwezo wa X-ray. Tukikuona umenuna, tayari tunajua umeshapigwa na kitu kizito au umeshaingizwa cha jiji.🀣

Siri za Humu Humu: "Usomaji wa ramani" ya maisha ya watu ni siri yetu. Ukiondoka hapa na siri, ujue wewe ni msaliti wa tasniaπŸ”₯

⚠️ Onyo la Muhimu:
Ukikaa hapa, unalindwa. Ukizingua unazinguliwa vilevile.. Makavu live!

Karibuni sana Chitchat Meeting Point, mahali ambapo hatuna mshahara, lakini tunafanya kazi kwa saa 24 kuhakikisha vibe la chitchat halipoi wala haliboiπŸ’ͺ🏿πŸ”₯πŸ”₯
 
Hii nzuri 😊
Enhee wewe chai ya rangi kwanini unanianzishia nyuzi hata kama unajua sipendi?

Kwanini unafanya watu wawaze hiyo I'd yako ni yangu na pengine nataka attention

Umeshindwa kunitafuta private?
Wallah unanikwaza

Najua pengine ni utani ila uishie basi kwa comment sio kuanzishiana nyuziπŸ™

chai ya rangi kama kweli unanipenda kwanini husikilizi nachosema πŸ€”
 
Hebu kalaleni hamuonei huruma hiyo mimacho tokea asubuhi ipo kodo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…