Naomba Daddy mzuri mzuri🥰
Huo ndio hata sifikiriiHata ulozi?
Nafikiri niache sasa hata ile ya kuwa nakuchokoza eeKawaida hua sina chuki na mtu kabisa
Mkuu wacha kunitamanisha nikiangalia na leo nalala peke yangu ndo nachanganyikiwa kabisa...🤣Hujakamatika weyeView attachment 3591984
😊😊Nafikiri niache sasa hata ile ya kuwa nakuchokoza ee
Unafurahi ee? Basi sawa nitazidi kukufurahisha zaidi mrembo
Huyu Mzee Huwa ananishangaza sana, inamaana ana library kabisa ya picha na amekariri achague ipi ya kutupia kulingana na scenarioWe babu Mshana Jr hivi hizo picha unazokuwa unazijibia Kwa comments za watu wewe huwa unazitoa wapi?
Ajabu ni kuwa kila siku unaleta picha mpya, hazijawahi kujirudia.
Unazitoa wapi