Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #61
Jamani humu ndani kuna mwenye pafyumu inayofukuza mbu? Maumivu yake si ya nchi hii!
Usiku wa jana nilijilipua:
nikanunua pafyumu ya bei mbaya, nikawasha mishumaa ya harufu nzuri, na kuweka Bongo fleva chumbani kwa ajili ya shemeji yenu.
Shemeji kuingia tu akasema: "Zima hizo kelele na mishumaa, nimechoka duka limenizingua. Na usiniguse!"
Yaani nilinyimwa live bila chenga! Pafyumu ya elfu 50 imeishia kufukuzia mbu usiku kucha huku nimeumbatia mto. Hivi nyie wanawake mna siri gani? 😂😂😂