☕ Chitchat Meeting Point: Kituo cha Kimataifa cha kupiga soga

Wakuu, hivi hawa viumbe huwa wanatupa nguvu gani? Nimeishiwa nguvu mtoto wa kike bado anadai chenji!

Baada ya ile dharuba ya mwanzo kunyimwa live, jana mambo yalinyooka.

Nikasema ngoja nionyeshe kazi. Nilipiga show ya kufa mtu, nikatoka jasho hadi nguvu zikaisha kabisa, nikajua nimekomesha.

Nikiwa nimejilaza pale hoi hata vidole siviwezi, mtoto wa kike akaniangalia akatabasamu kisha akasema: "Baby, mbona umelala? Bado nataka bwana, hiyo ilikuwa asha-basti tu!" View attachment 3591996Jamani nilibaki nimekodoa macho gizani. Hivi kuna pafyumu au glucose ya kuongeza nguvu ya haraka? Mzee mzima nimeishiwa pumzi hapa! 😭😂
Enheeee ikawaje nielezeee vizuri🤣🤣
 
Popote alipo DEO mtiifu namuambia yeye hafai hata kwa pilipili ya kulumangia haiwezekani mwenziye nikae mataa ya mafiati usiku mzima walau aje tujumuike kuwasha moto hatokei
Mkuu kawombe wewe ukiwa tayari karibu hata mbeya pazuri mkuu ,maana vijana wananikimbia nikiwaambia mimi ndiye hawaniagi wanaondoka kimya kimya
 
Namna hii ,dah ulimwengu mtamu sana
 
Popote alipo DEO mtiifu namuambia yeye hafai hata kwa pilipili ya kulumangia haiwezekani mwenziye nikae mataa ya mafiati usiku mzima walau aje tujumuike kuwasha moto hatokei
Mkuu kawombe wewe ukiwa tayari karibu hata mbeya pazuri mkuu ,maana vijana wananikimbia nikiwaambia mimi ndiye hawaniagi wanaondoka kimya kimya
Kazi kipimo cha utu😀
 
Hii nzuri 😊
Enhee wewe chai ya rangi kwanini unanianzishia nyuzi hata kama unajua sipendi?

Kwanini unafanya watu wawaze hiyo I'd yako ni yangu na pengine nataka attention

Umeshindwa kunitafuta private?
Wallah unanikwaza

Najua pengine ni utani ila uishie basi kwa comment sio kuanzishiana nyuzi🙏

chai ya rangi kama kweli unanipenda kwanini husikilizi nachosema 🤔
kwasababu nakupenda ShesRise_1
 
Back
Top Bottom