makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Mimi na mambo ya hisa wapi na wapi?Nawakumbusha Nmb katoa gawio la mwaka 2026 shilling 610.15 kwa kila hisa. Sasa endeleeni kucheza JF na kujiona bado watoto hamjakua mko busy kusifia nyash..!! makaveli10 Deleted01
Ahsante dada.Nawakumbusha Nmb katoa gawio la mwaka 2026 shilling 610.15 kwa kila hisa. Sasa endeleeni kucheza JF na kujiona bado watoto hamjakua mko busy kusifia nyash..!! makaveli10 Deleted01
😹😹😹 Umenihuzunisha sana honestly..!!Mimi na mambo ya hisa wapi na wapi?
Asante kwa kunielewa..!! 😀Ahsante dada.
🥰🥰eeh bwana umenisaidia nifike mahali nimefika, bwna wewe ni ebeneza maishani mwangu ooh,,
Ebeneza lang'a, libanga nangai ya talaOle kidya mape wolo papa ee kati na bomoyi nangaNzambe na kumisio, mokote ko nani nayoBisika nako milele o yahwe, ezali sela makasi nayo
Sawa nipenataka kukupa dedication ya wimbo. ( uusikilize mwezi mzima ) ?
🤣😂😂Sio kwa kichwa hiki, siamini kabisa katika biashara hizo, tuongelee ujenzi na kuwekeza kwingine😹😹😹 Umenihuzunisha sana honestly..!!
Itabidi nijitolee kukuelekeza..!!
Sasa nisipokuelewa na wewe, nitamuelewa nani tena?Asante kwa kunielewa..!! 😀
Fally ipupa - Roi manitouSawa nipe
Hata huko pia unawekeza, pesa yako inakufanyia kazi bila wewe kuwepo..!!🤣😂😂Sio kwa kichwa hiki, siamini kabisa katika biashara hizo, tuongelee ujenzi na kuwekeza kwingine
Wewe usiponielewa hata fimbo zitahusika aiseee.!! Sitaki wadogo wajinga wajinga 😹😹Sasa nisipokuelewa na wewe, nitamuelewa nani tena?
unakitu kikubwa sana ambacho wengi hawatakiekewa saiviHata huko pia unawekeza, pesa yako inakufanyia kazi bila wewe kuwepo..!!
2020 hisa moja ya Nmb ilikua 2300 sasa hivi iko 13,900.
Kama ulikuwa na hisa 10,000 ambazo ulinunua kwa 2300 jumla uliwekeza million 23
Sasa hizo hisa 10,000 zidisha kwa 13,900
10,000x13,900=139,000,000
Umeona hapo uwekezaji unavyolipa?
Sasa ukiacha hiyo kuna gawio ambalo linatolewa kama faida na kampuni kila mwaka.
Jana wametangaza gawio la mwaka huu 610.15 haya tuzidishe
Hisa 10,000x610.15=6,101,500
Hiyo unaweza kuifanyia chochote unachotaka hata kujipongeza kufurahia ushindi wa team letu 😹😹😹
Sasa fikiria kama una hisa laki moja muda huu hilo shangwe lake linakuwaje??
😀
Nitafutie niwekee tafsiri mi siwezi hataFally ipupa - Roi manitou
( angalia translation lyrics kwasababu haipo kwenye lugha inayoeleweka )
Mie nishazoea kupokea kodi, ndio gawio langu..Hata huko pia unawekeza, pesa yako inakufanyia kazi bila wewe kuwepo..!!
2020 hisa moja ya Nmb ilikua 2300 sasa hivi iko 13,900.
Kama ulikuwa na hisa 10,000 ambazo ulinunua kwa 2300 jumla uliwekeza million 23
Sasa hizo hisa 10,000 zidisha kwa 13,900
10,000x13,900=139,000,000
Umeona hapo uwekezaji unavyolipa?
Sasa ukiacha hiyo kuna gawio ambalo linatolewa kama faida na kampuni kila mwaka.
Jana wametangaza gawio la mwaka huu 610.15 haya tuzidishe
Hisa 10,000x610.15=6,101,500
Hiyo unaweza kuifanyia chochote unachotaka hata kujipongeza kufurahia ushindi wa team letu 😹😹😹
Sasa fikiria kama una hisa laki moja muda huu hilo shangwe lake linakuwaje??
Ndio maana nakupenda.Wewe usiponielewa hata fimbo zitahusika aiseee.!! Sitaki wadogo wajinga wajinga 😹😹
Mida ya kulisha nyoka kijanaSaa tano hii usiku mi mtu ya jf ipo macho hata haina chembe ya usingizi!, mijitu ya humu imekaa kichawichawi tu!.
WeeeeChit chat leo inafungwa saa kumi usiku kama wee mzembe lala kwanza saa 9 tuna jambo letu