Chivayo alikuwa na kashfa kila alipotia mguu!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto.

Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao.

Huyu Gachagua walipomtoa, hakupotea/ potezwa kama huyu aliyekuwa makamu haramu wa Rais, Bwana Nchimbi.

Hapa kwenye video Bwana Gachagua anamchana Rais Ruto kuhusu uhusiano wake na bonge.

Na hakuna atayempoteza Gachagua. Sana sana Rais Ruto naye atamjibu kwa kumrushia vijembe, halafu wataendelea na mambo mengine.

Wakenya wametuzidi mno.

Haya msikilize Gachagua hapa…..

View: https://youtu.be/po8M3HFRAzA?is=NF832GnLYSCIXKTa
 
ama kwa hakika mfuata mkumbo ni mfuata mkumbo tu aise,

anakubali kubebwa ufala wa kifikra na kukubali kupigwa kamba na mtu ambae alifukuzwa kazi na wananchi wake kwasababu ya uongozi huo huo 🤣
 
Kifo ni Kifo Tu wajameni
 
lkn all in all Kenya bado wako mbele sana, fikiria huyo anaongelea USA amepanda ndege uwanja wa nairobi using a kenyan passport anafanya siasa against ruto in the USA bila ya shida yoyote, sasa fikiria hiyo situation in tanzagiza, satanists wangeua familia yake yote, yuko wapi E.Nchimbi? ...
 
Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 13
  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 14
Haya Maisha bila kashfa, hujuma, utapeli, umafia ujanja ujanja, na uharamu huwezi kutoboa
 
ama kwa hakika mfuata mkumbo ni mfuata mkumbo tu aise,

anakubali kubebwa ufala wa kifikra na kukubali kupigwa kamba na mtu ambae alifukuzwa kazi na wananchi wake kwasababu ya uongozi huo huo 🤣
Vipi Chivayo alikuwa na Mahusiano gani na Tanzania Hadi mtume salaam za rambirambi?
 
lkn all in all Kenya bado wako mbele sana, fikiria huyo anaongelea USA amepanda ndege uwanja wa nairobi using a kenyan passport anafanya siasa against ruto in the USA bila ya shida yoyote, sasa fikiria hiyo situation in tanzagiza, satanists wangeua familia yake yote, yuko wapi E.Nchimbi? ...

Kenya kuanzia Elimu wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu democracy wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu uchumi pia nchi yao hiko mbali dhidi ya Tanzania kwa East Afrika hakuna chini inayojifananisha na Kenya kwa chochote
 
Back
Top Bottom