Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,258
- 6,504
Kwa demokrasia wanaongoza Africa ... nitajie nchi yenye demokrasia kuizidi?Kenya kuanzia Elimu wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu democracy wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu uchumi pia nchi yao hiko mbali dhidi ya Tanzania kwa East Afrika hakuna chini inayojifananisha na Kenya kwa chochote