Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
So far they are the best in AfricaLicha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao.
Chivayo classmate wako?Dahh classmate
ama kwa hakika mfuata mkumbo ni mfuata mkumbo tu aise,Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto.
Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao.
Huyu Gachagua walipomtoa, hakupotea/ potezwa kama huyu aliyekuwa makamu haramu wa Rais, Bwana Nchimbi.
Hapa kwenye video Bwana Gachagua anamchana Rais Ruto kuhusu uhusiano wake na bonge.
Na hakuna atayempoteza Gachagua. Sana sana Rais Ruto naye atamjibu kwa kumrushia vijembe, halafu wataendelea na mambo mengine.
Wakenya wametuzidi mno.
Haya msikilize Gachagua hapa…..
View: https://youtu.be/po8M3HFRAzA?is=NF832GnLYSCIXKTa
Ila wale jamaa watakuwa wamepat hel nyingi kutoka kwa jamaaKibubu Cha baadhi ya maraisi wa Africa na nchi za watu mambumbumbu kimeondoshwa ili mambumbumbu ya CCM walau yafumbue mamcho kwa mbaaali
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto.
Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao.
Huyu Gachagua walipomtoa, hakupotea/ potezwa kama huyu aliyekuwa makamu haramu wa Rais, Bwana Nchimbi.
Hapa kwenye video Bwana Gachagua anamchana Rais Ruto kuhusu uhusiano wake na bonge.
Na hakuna atayempoteza Gachagua. Sana sana Rais Ruto naye atamjibu kwa kumrushia vijembe, halafu wataendelea na mambo mengine.
Wakenya wametuzidi mno.
Haya msikilize Gachagua hapa…..
View: https://youtu.be/po8M3HFRAzA?is=NF832GnLYSCIXKTa
Msikilize makamu wa Rais halali wa zamani wa Kenya akimzungumzia bonge Mzimbabwe na uhusiano wake na Rais William Ruto.
Licha ya kwamba Kenya nayo ni nchi ya dunia ya 3, lakini kidemokrasia na kwenye mambo ya uhuru wa raia wake, wametuacha mbali sana na wanatumia akili kuliendesha taifa lao.
Huyu Gachagua walipomtoa, hakupotea/ potezwa kama huyu aliyekuwa makamu haramu wa Rais, Bwana Nchimbi.
Hapa kwenye video Bwana Gachagua anamchana Rais Ruto kuhusu uhusiano wake na bonge.
Na hakuna atayempoteza Gachagua. Sana sana Rais Ruto naye atamjibu kwa kumrushia vijembe, halafu wataendelea na mambo mengine.
Wakenya wametuzidi mno.
Haya msikilize Gachagua hapa…..
View: https://youtu.be/po8M3HFRAzA?is=NF832GnLYSCIXKTa
Haya Maisha bila kashfa, hujuma, utapeli, umafia ujanja ujanja, na uharamu huwezi kutoboa
Vipi Chivayo alikuwa na Mahusiano gani na Tanzania Hadi mtume salaam za rambirambi?ama kwa hakika mfuata mkumbo ni mfuata mkumbo tu aise,
anakubali kubebwa ufala wa kifikra na kukubali kupigwa kamba na mtu ambae alifukuzwa kazi na wananchi wake kwasababu ya uongozi huo huo 🤣
muulize huyo mtoa porojo akupige kamba vizuri na itapendeza zaidi gentleman 🤣Vipi Chivayo alikuwa na Mahusiano gani na Tanzania Hadi mtume salaam za rambirambi?
lkn all in all Kenya bado wako mbele sana, fikiria huyo anaongelea USA amepanda ndege uwanja wa nairobi using a kenyan passport anafanya siasa against ruto in the USA bila ya shida yoyote, sasa fikiria hiyo situation in tanzagiza, satanists wangeua familia yake yote, yuko wapi E.Nchimbi? ...