Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,258 Reaction score 6,504 Oct 6, 2026 #21 baz kaiza said: Kenya kuanzia Elimu wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu democracy wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu uchumi pia nchi yao hiko mbali dhidi ya Tanzania kwa East Afrika hakuna chini inayojifananisha na Kenya kwa chochote Click to expand... Kwa demokrasia wanaongoza Africa ... nitajie nchi yenye demokrasia kuizidi?
baz kaiza said: Kenya kuanzia Elimu wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu democracy wako mbali dhidi ya Tanzania kuhusu uchumi pia nchi yao hiko mbali dhidi ya Tanzania kwa East Afrika hakuna chini inayojifananisha na Kenya kwa chochote Click to expand... Kwa demokrasia wanaongoza Africa ... nitajie nchi yenye demokrasia kuizidi?