Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hapa nitakuwa naandika series wahusika wakiwa ni member wa hapa jf ni kastory ka uongo na kweli ..
Na wala member ypyote atakayetajwa basi hakuna ukweli wowote na uhusika wake hapa.
Pita hapa kwa story zaidi ..
Ni asubuhi na mapema ,nimetulia bwenini na mawazo mengi shule moja jina kapuni. nikijiimbia wimbo pendwa kipindi hicho."yule" ulioimbwa na jamaa wa kuitwa AY.
Unaweza kuniuliza kwanini nilikuwa na naiimba kawimbo hako?
Yeah nilikuwa Nina sababu zangu ..
Tuliza kiherehere na uvute kiti ukae twende sawa..
"Oya wewe acha ufala twenzetu tukapate mchicha poli"
Huyu alikuwa ni jamaangu angu mule bwenini kwa jina lake "Mussa sambongo" yeye anapendelea kujiita KENZY ..
Mimi: man niache tu we nenda kama vipi yule. Dem Jana disko namuwaza mnoo..
KENZY : hivi umeanza kuwa fala Lini wewe? Me nakuliacha afu usitusumbue baadae arosto ikipanda unakuwa kama Behaviourist bhna..!
(Huyu jamaa wa kuitwa yohana ngoli" ama maarufu shuleni pale kama Behaviourist siku chache zilizopita alitrend kisa hasa ni barua yake ya mtongozo kuchanwa na demu mmoja wa shule jirani ya wasichana wa kuitwa "koku muzingizi" almaarufu kama Khantwe ..!
Behaviourist alifikia hatua ya kujitundika mtini ...!
Bila ticha wetu wa kiswahili bwana Mshana Jr kupita mitaa ile ..huyu mshikaji wetu tungemkosa..!
Well turudi kwenye story husika kuhusu jana yake hapo shule jirani ya wasichana maana Mimi na behaviourist visa vyetu vinafanana kidogo ...
Nyie eeh mnawahi wapi vuteni kiti mkae mbwa nyie...tuendelee.
Ijumaa ile baada tu ya mwalimu wetu wa starehe na maafa bibie Shadeeya
Kututangazia kuwa jumamosi tutakuwa free kwenda disko apo shule ya jirani wasichana tupu ..(jina kapuni)
Wahuni tulishangilia sana hasa jamaa mmoja wa kuitwa zacharia ndepanya .
Alamaaruf kama trouble maker ..
Huyu muhuni kwao pesa ilikuwepo sio ya mawazo kama akina Sie tuliotoka maporini kuja kusoma...
Jamaa huyu pekee kwa kuwa ndio alikuwa na perfume na mwenye ka- simens ka line moja alikopewa na babake anaefanya kazi kwenye kampuni ya migodi huko bondeni kwa madiba.
Basi ndio alikuwa mkombozi wetu.
Lakini waswahili wanasema kila.kubwa na kubwa yake..
Tulieni nyie kenge tuendelee na part two ...hapo chini..acha nipate kitu cha kujaza tumbo..