My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Zakaria ndepanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha Sana kaka kwa story
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha Sana kaka kwa story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka mkuuShusha vitu tupo live apa
Hahabah pamoja mkuu mbele mtakuwa wengiZakaria ndepanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha Sana kaka kwa story
Hahahahah oyaaa unatumia majan gan wakati wa kula mboga za majan[emoji1787][emoji1787]Part 5 >>>
Tunatoka sasa tukiingia darasani ambapo kutakuwa na disco apo .
Gues what ??
Ndani tunawakuta madj wakubwa that time kutoka kituo cha redio kikubwa kutoka.mjini dar es salaam ..MAISHA FM..
Wakulungwa wengine huko dar hatujawahi kufika huwa tunaskia tu story za jamaa wa bweni hall 5 wa kuitwa MO11 ..huyu kenge pia ni mpiga nyeto mzuri sana ila hamfiiii Kunguru wa Manzese .
OK.nilikuwa nshaanz kuchomeka story za wapiga nyeto hawa maarufu shuleni kwetu...
Basi bhna tuliwakuta DJ matata kutoka huko maisha FM bitoz wa kujiita Nyani Ngabu .na tulikuta kaachia kibao matata enzi hizo.kutoka kwa msanii kutoka Jamaica shaggy kikijulikana kwa jina la "strength of woman".
Wahuni kina Bujibuji ,Mjep ,BAK .
Na mkulungwa yule Lucas Mobutu akikamatia pisi ya kuitwa Khantwe nayo pia imetoka mbeya kwa kina Bujibuji ..
Ghafla dj Nyani Ngabu anachezea santuri yake na kuachia kibao cha bwana misosi " mabinti wa kitanga"
Shit..gues what mpka sasa nilikuwa alone nyege zimepanda ile pisi siioni..!
Yaani mpka komamanga KENZY yeye yupo na pisi yake ya kichaga Lenie .
Za chini ya kapeti pia hapo kumbe Dada mmoja wa kimakonde aitwaye zuhura zingizi..ama maarufu apo shule kwao Joanah alianzisha tifu la.kufa mtu kisa hasa ni jamaa yake wa kuitwa Mikwara Ya Andunje kumzunguka na kutaka pisi ya kaka mkubwa mmoja wa kidato cha 6 aitwaye petro kipongo maarufu kama funzadume ..
Patia mbwa wewe..
Pisi yenyewe kumbe ndio alikuwa hiyo hiyo nnayoitafuta ..! Yeah hiyo hiyo..!
Kwakuwa wakulungwa huwa hatukwami,
Nikamcheki mwamba wa kuitwa niachiemimi ,na msukuma.mmoja mbavu Nene wa kuitwa Cast ..
I'll twende kumaliza ugomvi nimbebe pisi wangu nikambambie mie
That time.dj alikuwa wamoto mnoo kashtua kibao cha jamaa wa kuitwa DNA "banjuka juu"..
Japo huyo Joanah alikusudia kumtoa ngeu jamaake Mikwara Ya Andunje ,na kuunganisha na pisi yangu ile.kumbe nikaja kujua inaitwa Carleen ..!
Wakulungwa wenzangu wawili hao tukamchomoa Carleen wangu ,then tukawaachia msala.huyo Joanah na bwanake.. Week ijayo nilipata habari kuwa huyo jamaa alipigwa sana na pisi yake akashonwa nyuzi 6 usoni..
Mtoto yuko mikononi mwangu sasa ..nipewe nini Mimi ..
Kumbe nae Carleen alintafuta akachoka..!
" hakuna noma.tusakate mama" sauti moja niliotoa ila.yenye mamlaka mtoto akajaaa kifuani ...!
part 6 na ndo tumalizie punda vihongwe nyie
Tuendelee mkuu nilitaka kuchangamsha hapa I think itakuwa kila sikuZakaria ndepanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetisha Sana kaka kwa story
Nakubali sana mwambaWe jamaaa kama fala fala hivi[emoji2][emoji2]ila unae motisha kinomanoma yan hahaha big up
Nilishaacha kaka situmii kabisa hiyo kitu hahababHahahahah oyaaa unatumia majan gan wakati wa kula mboga za majan[emoji1787][emoji1787]
Mkuu hii stori yako haijanitendea haki mi si mkorofi kiasi hicho..😂Part 4>>>
Tunaingia uwanjan sasa baada ya kocha wetu na mwalimu wa chemistry Don Clericuzio kutoa maelekezo na kusisitiza anataka soka safi kama anavyocheza BAK , pia alimsisitiza sana mkulungwa mmoja wa kuitwa Bujibuji aacheze fair kwa wenzie kwa ni huyu mzee hachelewi kukutegua nyonga ,alishamfanyia mazambi jamaa mmoja mpole.kutoka kule bweni la mwisho wa kuitwa Kingsmann jamaa.hawezi msahau huyu muhuni..
Well tukiwa uwanjan naskia shangwe za wadada .. Basi apo likichwa lake Kenzy bado kidogo lipasuke huku BAK akijifanya mchezaji maarufu miaka hiyo zinadine zidane.
Ambapo kila.nikicheki nje nagundua yule.mrembo saa ile alieniomba peni bado ananicheki ...!
Mmh kanielewa nini?
Dakika ya 66 anatoka buji buji na kuingia The Boss ila.kumbe tulipata fununu huyu muhuni bujibuji alitoka ili aiwahi ile pisi yake yenye zigo la haja nyuma kwa jina la atupele.mwakyusa ...maarufu kama Makiseo inasemekana wametoka mkoa mmoja huko mbeya...
Mechi inaisha huku kidato cha tano tulipigwa 1 kwa 0.
Goli lilitiwa kimiani na jamaa wa kuitwa
Bia yetu ...
Well hii ndo time tulikuwa tukiisubiri sanaaa kwani after here tunalekea disko kwenye ukumbi wa darasa guess what?
Kuna wahuni pale walishaanza kusimamisha zakaria zako.
As mnavyojua ugwadu wa boarding na maharage yale.yenye mende...
Haya naitafuta ile pisi ila siioni najiuliza ikwapi tena?? Maana kila nikicheki naona watu wawili wawili ...
Jamaa wa kuitwa Lucas Mobutu kutoka mbeya kamshikilia Khantwe .huyu komamanga nae kamdaka Lenie ..na muhuni wa kuitwa BAK yupo chochoro chini ya mti na mrembo wa kuitwa whitehorse ...
Na hapa.tukisubiri ma dj wafunge madude yao wahuni kina GENTAMYCINE turuke debe..
Nabaki naguna guna tu kaenda wapi?
Ndo mtulie nyie mbwa ama mkalale...!
PART 5>...
Lenie siku hiyo nakumbuka ulikuwa ukiukata utafikiri ulikuwa umeambiwa hutonipata tena..😂Part 5 >>>
Tunatoka sasa tukiingia darasani ambapo kutakuwa na disco apo .
Gues what ??
Ndani tunawakuta madj wakubwa that time kutoka kituo cha redio kikubwa kutoka.mjini dar es salaam ..MAISHA FM..
Wakulungwa wengine huko dar hatujawahi kufika huwa tunaskia tu story za jamaa wa bweni hall 5 wa kuitwa MO11 ..huyu kenge pia ni mpiga nyeto mzuri sana ila hamfiiii Kunguru wa Manzese .
OK.nilikuwa nshaanz kuchomeka story za wapiga nyeto hawa maarufu shuleni kwetu...
Basi bhna tuliwakuta DJ matata kutoka huko maisha FM bitoz wa kujiita Nyani Ngabu .na tulikuta kaachia kibao matata enzi hizo.kutoka kwa msanii kutoka Jamaica shaggy kikijulikana kwa jina la "strength of woman".
Wahuni kina Bujibuji ,Mjep ,BAK .
Na mkulungwa yule Lucas Mobutu akikamatia pisi ya kuitwa Khantwe nayo pia imetoka mbeya kwa kina Bujibuji ..
Ghafla dj Nyani Ngabu anachezea santuri yake na kuachia kibao cha bwana misosi " mabinti wa kitanga"
Shit..gues what mpka sasa nilikuwa alone nyege zimepanda ile pisi siioni..!
Yaani mpka komamanga KENZY yeye yupo na pisi yake ya kichaga Lenie .
Za chini ya kapeti pia hapo kumbe Dada mmoja wa kimakonde aitwaye zuhura zingizi..ama maarufu apo shule kwao Joanah alianzisha tifu la.kufa mtu kisa hasa ni jamaa yake wa kuitwa Mikwara Ya Andunje kumzunguka na kutaka pisi ya kaka mkubwa mmoja wa kidato cha 6 aitwaye petro kipongo maarufu kama funzadume ..
Patia mbwa wewe..
Pisi yenyewe kumbe ndio alikuwa hiyo hiyo nnayoitafuta ..! Yeah hiyo hiyo..!
Kwakuwa wakulungwa huwa hatukwami,
Nikamcheki mwamba wa kuitwa niachiemimi ,na msukuma.mmoja mbavu Nene wa kuitwa Cast ..
I'll twende kumaliza ugomvi nimbebe pisi wangu nikambambie mie
That time.dj alikuwa wamoto mnoo kashtua kibao cha jamaa wa kuitwa DNA "banjuka juu"..
Japo huyo Joanah alikusudia kumtoa ngeu jamaake Mikwara Ya Andunje ,na kuunganisha na pisi yangu ile.kumbe nikaja kujua inaitwa Carleen ..!
Wakulungwa wenzangu wawili hao tukamchomoa Carleen wangu ,then tukawaachia msala.huyo Joanah na bwanake.. Week ijayo nilipata habari kuwa huyo jamaa alipigwa sana na pisi yake akashonwa nyuzi 6 usoni..
Mtoto yuko mikononi mwangu sasa ..nipewe nini Mimi ..
Kumbe nae Carleen alintafuta akachoka..!
" hakuna noma.tusakate mama" sauti moja niliotoa ila.yenye mamlaka mtoto akajaaa kifuani ...!
part 6 na ndo tumalizie punda vihongwe nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana Mdogo wangu eti Mwalimu wa starehe na Maafa. LOL.
😀😀😀 nimecheka sana Mdogo wangu eti Mwalimu wa starehe na Maafa. LOL.
Kabisaaa. Na anajua kutunga pia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli tucheke tu.. naona mleta uzi katuamulia.
😂😂😂 nyingi tu Mtani.
Naona unajihami. Lol